Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hali inayo onekana ni kuchanganyikiwa kutokana na chadema inavyo endesha shughuli zake za kisiasa, Ccm wanaishutumu CHADEMA kwamba ni chama cha fujo. mwenyekiti wa vijana wa ccm kawaasa wazazi wasiruhusu watoto wao kujiunga na chama cha fujo. kasema eti chadema kikisha sababisha maafa kinakimbilia kuzika na baada ya kuzika hakiwakumbuki walio achwa.
MY TAKE;
Movement for change (M4C) imewashika pabaya ccm sasa wanatapatapa kama mfa maji. kwanini wasiongee sera zao badala ya kuchafuana?. mia
Katika hali inayo onekana ni kuchanganyikiwa kutokana na chadema inavyo endesha shughuli zake za kisiasa, Ccm wanaishutumu CHADEMA kwamba ni chama cha fujo. mwenyekiti wa vijana wa ccm kawaasa wazazi wasiruhusu watoto wao kujiunga na chama cha fujo. kasema eti chadema kikisha sababisha maafa kinakimbilia kuzika na baada ya kuzika hakiwakumbuki walio achwa.
MY TAKE;
Movement for change (M4C) imewashika pabaya ccm sasa wanatapatapa kama mfa maji. kwanini wasiongee sera zao badala ya kuchafuana?. mia
wanao pia mpango wa kujaza mamluki ndani ya chama ambao kazi yao ni kuvuruga utulivu
Mimi nilichojifunza kutokana na msiba wa Bob Nyanga Makani, mjukuu wa chifu Makwaiya ni kwamba CHADEMA huwa hawkurupuki na hoja nyepesi zinazotolewa na wapinzani ccm,matukio mawili yanatukumbusha mengi;
kwanza
Kumbe CHADEMA waanzilishi wake walipatikana kutoka kila kanda kuu za tanganyika yaani kanda ya ziwa ya kusini ya magharibi, na ya mashariki kama ifuatavyo;
o Edwin Mtei (Arusha),
o Makani (Shinyanga),
o Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa),
o Edward Barongo (Kagera),
o Mary Kabigi (Mbeya),
o Menrad Mtungi (Kagera),
o Costa Shinganya (Kigoma),
o Evalist Maembe (Morogoro) na
o Steven Wassira (Mara).
PILI
Kumbe CHADEMA si chama cha wachaga kama tulivyoaminishwa na wapinzani, kwani mchaga katika kundi la waanzilishi (WAASIS) ni mzee mtei peke yake.Kumbe influence ya mzee mtei kutokana na CV yake na exposure yake iliwachanganya ccm WAKADHANI NI CHAMA CHA WACHAGA.
Asanteni sana watoa taarifa za waasisi
Washindwe ccm na wakauke.
hapo juu sio kuwa wameshindwa tu kueneza propaganda za udini, ukabila na ukanda lakini pia kadri walivyokuwa wanaeneza propaganda ndio jinsi walivyo kuwa wanashindwa kutawala na kucheza mziki wa ma kamanda.
wangekuja arusha waone tunavyopewa moyo na wazazi kuhudhuria ktk mikutano.ccm chama cha ukoo...eti january makamba,nape nnauye,wiliam malecela,abdul kagasheki,husein mwinyi,ally karume,ridhiwan kikwetu,sioi sumary,fred lowassa,john mongela....
CCM Ndo wametuchezea sana watu wa Shinyanga tangu zamani hawakutaka Raisi au waziri atoke katika Mkoa wetu sasa tumechangamka,ni Chadema kwa kwenda mbele tumeanza na majimbo 4,Maswa mashariki,Maswa magharibi,Kishapu na Meatu,Mwaka 2015 Tutamalizia na Bariadi Mash.na Magharibi,Kahama,Solwa kwa Nchambi,na tutamalizia Busega hapo Ramadi,CCM na SHIRECU walitunyonya wakachelewesha maendeleo yetu sasa ni wakati wa kuwacharaza bakora ndani ya sanduku la kura hapo 2015. Hatudanganyiki kabisa mwaka huu chini ya kampuni tapeli la unuzi wa pamba wameshusha bei ya pamba kutoka 1300 mwaka 2011 hadi 650 mwaka huu 2012 yaani inflation kwa 50% J.K. naye tunasikia anahisa katika kampuni hilo tapeli la ununuzi wa pamba Bariadi,hawa jamaa ni wanyonyaji kweli kweli watusainisha eti kilimo cha mkataba wa pamba lakini bei ya pamba haiko katika mkataba. Huu ni wizi wa mchana kweupe wa CCM na vibaraka wake. Mtatunyoya hadi lini sasa tumeamka ni adhabu kwa CCM ndani ya masanduku ya ballot,However sisi ni maskini hatuwezi kushindana na mafisadi wa CCM ambao katu hatutaki waguse Bariadi kuomba kura 2015 kwani hata bungeni Mheshimiwa Loud na makamu na wabunge wengine wa CCM walikataa na kushindwa kuishinikiza serikali ya chama cha CCM ituwekee ruzuku katika bei ya pamba ili inflation isituathiri,wameshindwa kututetea na sisi tunaapa hakya mungu na haki ya mababu wetu wote na mizimu yote ya usukumani,Shinyanga na Simiyu lazima tuwakomoe kwa kuwanyima kura 2015 na walaaniwe milele CCM na mafisadi wake,hata wabunge wetu mafisadi wa unyantuzuni wameshindwa kutusaidia,kutusemea,na pesa zao hatuzitaki najua watakuja kujaribu kutuhonga nyama na wali na chumvi ili tuwachakue katu hatutakubali pamoja na umaskini wetu,lazima tuwaonyeshe nguvu ya Umma wataitambua 2015. Kaeni chonjo wazee wenye vipara............................................................................................................................................................Mkuu mbona hilo linajulikana toka kitambo tu, hawana CD yoyote wanatapatapa tu