Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Kejeli muda mwingine hugeuka na kutengeneza nguvu kubwa kwa wahusika

inategemeana na nani anakejeliwa, CHADEMA mnaambiwa ukweli na wala siyo kejeli. Waraka wa wakristo 2010 kama siyo watanzania kusimama imara nchi ilikuwa inaingia katika vita
 
maneno yenu hata siamini kabisa, hivi kuna vyama vimekejeliana kwenye siasa za Tanzania kama CDM na CUF? leo mbona mmeungana? basi malumiane wenyewe huko huko UKAWA.

Hata 2005 CCM mlisema CUF ni chama magaidi ila sasa hivi mko nayo katika SUK huko Zanzibar. Kejeli za vyama kwa vyama ni jambo la kawaida ila kejeli zinapokuwa zimeshikwa na watu wa mitaani kama wewe hiyo ni habari nyingine
 
jana kuna mtu alikiri humu ndani kuwa CHADEMA ni wadini na sera zao za UKANDA zinaweza kuliangamiza taifa huku akiwaasa UKAWA kumpa LIPUMBA nafasi ya kupeperusha bendera yao 2015, sijui mleta mada jana alikuwa wapi. Tena ile mada ya jana iliwekwa na mfuasi wa CHADEMA aliyeiva.

Hilo halina ubishi chadema uislamu kwao ni balaa, ukitaka kuwajua hata humu jamvini we anzisha mada ya ya kuusifia uislamu uone mitusi yao.
 
Chadema wenyewe wamewakejeli sana CUF lakini hayo hujayaona lakini pia ujue kuwa chadema ni wachafu kuliko unavyodhani wewe pengine unajifanya huwajui.
 
Hilo halina ubishi chadema uislamu kwao ni balaa, ukitaka kuwajua hata humu jamvini we anzisha mada ya ya kuusifia uislamu uone mitusi yao.
Sasa wanachukia uislamu kwa maslahi gani kwani wao imani ya wenzao inawahusu nini kama siyo upuuzi.
 
Mleta mada, mbona huweki chadema walipokuwa wakiwakejeli CUF? au umesahau?

"Hatutashirikiana na Chadema kwa sababu ya kauli za kuudhi dhidi ya CUF kama vile CUF CCM B, CUF waliberali, CUFimeolewa na CCM. Chadema wanatumia fursa ili kujipatia wafuasi Zanzibar" Seif Shariff Hamad
 
Faiza achana na siasa za ajabu.

simamieni uchumi wa nchi, Taifa linataabika, msipoangalia wananchi tutawaondoa madarakani kwa kuwapopoa mawe.
 
maneno yenu hata siamini kabisa, hivi kuna vyama vimekejeliana kwenye siasa za Tanzania kama CDM na CUF? leo mbona mmeungana? basi malumiane wenyewe huko huko UKAWA.

Wake up ndugu. Kumbuka Steven Wassira alivyokuwa anaikejeli/kuitukana ccm wkt akiwa NCCR? Leo yuko wapi? Msiwe mna comment tu just for the sake of it! U should know that in politics, there's no permanent enemy!
 
UDINI wa CHADEMA hauwezi kufutika kwa maneno bali kwa vitendo, wasipobadilika mtaendelea kusema sana lakini ndicho kitakuwa chanzo cha kifo chake.

Tarehe 20-21/11/2013 Kamati Kuu ya Chadema Iliridhia Uteuzi wa Wakurugenzi Wafuatao..
1. Mkurugenzi wa Oganaizesheni Mhe. Singo Kigaila Benson.(Mkristo + Mchaga)
2. Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano ya ndani Mhe. John Mnyika (Mb). .(Mkristo + Mchaga)

3. Mkurugenzi wa Fedha na uwekezaji Mhe. Anthony Komu. .(Mkristo + Mchaga)
4. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashuri Mhe. John Mrema. .(Mkristo + Mchaga)
5. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Mhe. Wilfred Lwakatale.
Uteuzi huu hauonyeshi sura ya Kitaifa Wakurugenzi wote watano ni Wakristo kanakwamba CHADEMA hakuna Waislamu wenye uwezo wa kushika nafasi hizo.
Lakini pia hauzingatii mgawanyo wa kijamii kwa kuwa kati ya kurugenzi hizo Tano wakurugenzi wanne kati yao wanatokea mkoa mmoja wa kilimanjaro

Faiza achana na siasa za ajabu.

simamieni uchumi wa nchi, Taifa linataabika, msipoangalia wananchi tutawaondoa madarakani kwa kuwapopoa mawe.

Uchumi wa leo Tanzania utaufananisha na upi kwa kuwa imara?

Mpaka hausigeli wana magari. Dogo hilo?

Hizo zingine ni ndoto za alinacha, jaribu kuingia na mawe barabarani halafu ujionee FFU wa Tanzania walivyokuwa wakali kuliko mbwa wenye vichaa. Kama huji muulize Dokta wa kanoni Slaa, aliingia kujificha nyuma ya maspika Arusha, umesahau?

Toka siku hiyo kakoma na hajashiriki wala kuitisha tena maandamano haramu, cheza na Serikali wewe?
 
jana kuna mtu alikiri humu ndani kuwa CHADEMA ni wadini na sera zao za UKANDA zinaweza kuliangamiza taifa huku akiwaasa UKAWA kumpa LIPUMBA nafasi ya kupeperusha bendera yao 2015, sijui mleta mada jana alikuwa wapi. Tena ile mada ya jana iliwekwa na mfuasi wa CHADEMA aliyeiva.

Ndugu hujielewi wewe,hujui hata wakina Prof.Kitila,Zitto nao walijiita na wakaitwa wafuasi wa Chadema walioiva?!kumbe ni mamluki tu nadhani kama ukifuatilia nyendo zao kwa sasa utaridhia maamuzi ya Chadema...Ni jana tu kitila ameonekana na wakina Bulembo akipanga namna yakuwaangusha Mnyika na Mdee 2015.
.......chadema ni level nyingine.
 
Tarehe 20-21/11/2013 Kamati Kuu ya Chadema Iliridhia Uteuzi wa Wakurugenzi Wafuatao..
1. Mkurugenzi wa Oganaizesheni Mhe. Singo Kigaila Benson.(Mkristo + Mchaga)
2. Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano ya ndani Mhe. John Mnyika (Mb). .(Mkristo + Mchaga)

3. Mkurugenzi wa Fedha na uwekezaji Mhe. Anthony Komu. .(Mkristo + Mchaga)
4. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashuri Mhe. John Mrema. .(Mkristo + Mchaga)
5. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Mhe. Wilfred Lwakatale.
Uteuzi huu hauonyeshi sura ya Kitaifa Wakurugenzi wote watano ni Wakristo kanakwamba CHADEMA hakuna Waislamu wenye uwezo wa kushika nafasi hizo.
Lakini pia hauzingatii mgawanyo wa kijamii kwa kuwa kati ya kurugenzi hizo Tano wakurugenzi wanne kati yao wanatokea mkoa mmoja wa kilimanjaro

Namsikitikia Mohamedi Mtoi, asubiri yaliyomkuta Zitto Kabwe.
 
Last edited by a moderator:
Mtasema sana lakini watanzania tunajua ipi ni CHUYA na upi ni MCHELE.Na siku zoooooote mti unaopondwa mawe ndiyo wenye MATUNDA.CHADEMA ni mti wenye matunda kwa hiyo si ajabu mawe kuuandama.Wasukuma wanamsemo mmoja unaosema 'ISHIHANGILE SHITACHAMILAGWA', Maana yake ni kwamba kilicho tabiliwa huwa hakizuiliki, lazima unabii utimie.Kwa hiyo nyie mnaopiga porojo hapa JF Mnapoteza muda wenu bure, tafuteni kazi zingine za kufanya.UKAWA ni mpango wa Mungu wa kuwakomboa Watanzania wote Wenye akiri timamu na wasio na akiri timamu.
 
“Hatutashirikiana na Chadema kwa sababu ya kauli za kuudhi dhidi ya CUF kama vile CUF CCM B, CUF waliberali, CUFimeolewa na CCM. Chadema wanatumia fursa ili kujipatia wafuasi Zanzibar” Seif Shariff Hamad

sema sintashirikiana na chadema maana cuf tayari wao wameisha saini moU na chadema.sijui utafanyaje sasa kaka!.
 
Uchumi wa leo Tanzania utaufananisha na upi kwa kuwa imara?

Mpaka hausigeli wana magari. Dogo hilo?

Hizo zingine ni ndoto za alinacha, jaribu kuingia na mawe barabarani halafu ujionee FFU wa Tanzania walivyokuwa wakali kuliko mbwa wenye vichaa. Kama huji muulize Dokta wa kanoni Slaa, aliingia kujificha nyuma ya maspika Arusha, umesahau?

Toka siku hiyo kakoma na hajashiriki wala kuitisha tena maandamano haramu, cheza na Serikali wewe?

Hakika sio jambo dogo na hii inawezekana kwa Serikali inayokumbatia na kulea shughuli haramu, wizi na kila aina ya uchafu ndani ya jamii. Kama wahudumu wa ndani wanapata fursa ya kugeuzwa punda wa kubebeshwa sembe itashindikana vipi kwa wao kumiliki magari ya mitumba....

Ama kweli tumelaaniwa na kukosa uwezo wa kufikiri kwani hata mkuu wa kaya aliwahi kutamka wazi kuwa foleni na msongamano wa magari jijini Dar ni ishara ya maendeleo na kukua kwa uchumi...
 
1.jpg

4.jpg

3.jpg
 
Uchumi wa leo Tanzania utaufananisha na upi kwa kuwa imara?

Mpaka hausigeli wana magari. Dogo hilo?

Hizo zingine ni ndoto za alinacha, jaribu kuingia na mawe barabarani halafu ujionee FFU wa Tanzania walivyokuwa wakali kuliko mbwa wenye vichaa. Kama huji muulize Dokta wa kanoni Slaa, aliingia kujificha nyuma ya maspika Arusha, umesahau?

Toka siku hiyo kakoma na hajashiriki wala kuitisha tena maandamano haramu, cheza na Serikali wewe?

Sijui kwa nini unapenda kulinganisha Faiza.

Wakati serikali ya awamu ya nne inaingia madarakani ilisifia awamu zote tatu zilizopita, ikasema zimeweka msingi. Ni kwa nini siku za karibuni mmeamua kuzitupia lawama awamu hizo?

Hao FFU unaojitapia, walah nakuambia ipo siku yenu, wote pamoja na nyie, mtakosa pa kukimbilia.
 
Back
Top Bottom