Hivi mkuu ccm bado hawajaanza kukulipa tu?Maana naona kama umepanic kiaina.Halafu tena ukizingatia umaarufu wako hapa JF unapungua,basi ujuwe wataku flush kama toilet paper.Trust me,kama bado hujapata mchongo,ujuwe hakuna jipya litakaloweza kukutoa tena.Maana single ni zile zile tuu!
Tanzania imebadilika,ukipambana na chadema unapambana na wananchi.