Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Huo mzunguko wote hauwezi kuufahamu iwapo 'skendo' hiyo alifanyiwa mtu mwingine.

Skendo hiyo ulifanyiwa wewe.
 
😃😃😃 Nilienda mara moja tu kumsalimia Mama mmoja ambaye ni Kama Mam Mkubwa wa hiari, kufika pale akani hug na busu Kubwa mixer juice, chicken nuggets huku ananishika shika Kichwani na kunipiga piga Mabegani aisee mume wake alichukia na kunifukiza. RIP (Mzee) huyo Mama ni mtu mzima kanizidi kama miaka 37. Kashafanya kazi za Kidiplomasia nchi kibao. Natoka getini tu ikathibitishwa 80k MPeSa
 
Kwangu mimi ndugu zangu ndio kipaumbele na sio mkewangu
 
Wapi Bulwa au kwamkoro!!?

Huyo mama mtata ni kama vile namjua..
 
honestly sipendi kukaa kwa watu huwa nafikia lodge naenda kusalimia then narudi lodge . Isipokua ndugu nnae kaa kwake niwa tumbo moja tu wengine wote ni hotelin
Kibongobongo hapo umeshaanza kazi Mkuu Kwa familia nyingi kabla hujaajiriwa ukienda mkoani mfano kwaajili ya usahili, nyumbani ni mbali na una likizo fupi, uko shuleni na Kuna Ndugu mkoa huo basi utaenda kwani tunapenda basi Mkuu ni shida tu...lkn Kuna Wengine wanakuwa wakarimu tusisahau ......bi Mkubwa anakupigia nimeshaongea na shangazi Yako nenda haahaaaaa namba ni hizi haaaaaaa au Mzee wako....ndiyo ladha ya maisha.
 
Wapare ni wachoyo mno.
 
Mimi nadhani kuwa mara nyingi situation kama hii zinasababishwa na mambo mengine mengi na siyo ule ugeni tu. Familia inaweza kuwa na ugomvi mwingine au kukosa maelewano na mgeni anakuwa tu kama kichocheo cha kuvuga mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…