Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Mm sinaga huo utaratibu wa kufikia kwa ndugu huwa nafikia zangu gesti bubu maisha yanaenda
 
Kuna principle moja naona ni nzuri, ukiitumia ndani kwako inaweza kupunguza matatizo madogo.

Akitaka kuja ndugu yangu, ampigie wife kumwambia anategemea kuja, mimi hata asiponiambia akanishukiza sina shida, ila wife ajue mapema...inapunguza maneno.
Natamani aione hii mume wangu
Napataga ugeni wa ghafla wa watu kama 4 hivi wa kulala afu unakuta sina hata taarifa
Ila na yeye anasemaga hata mimi hawajaniambia
Duh unapata tabu maana unakuta wamefika usiku
Kuwawekea mazingira and soo on
Sema kibingwa tu unapiga moyo konde unawaejea mazingira
 
Back
Top Bottom