Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Yani mnashindwa bando la wiki na mpo pamoja? Sasa watoto mtawalisha nini au ndio watanyonya hadi wajue kujitegemea?Asante,, ingawa umetudharau sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mnashindwa bando la wiki na mpo pamoja? Sasa watoto mtawalisha nini au ndio watanyonya hadi wajue kujitegemea?Asante,, ingawa umetudharau sana
Muunge asije akaungwa jaza ujazweWangu huyu
sasa uenyeji au ugeni wako unakusaidia nini?Na ugeni wako unajikakamua kuandika uzi jf.....unakuta comment moja tu
Unajiuliza mwandiko wangu mbaya au mods wamepiga ban uzi wangu usionekane kwa watu wengi
Wageni wajf waonewe huruma
Alishaacha baada ya kuotewaMuunge asije akaungwa jaza ujazwe
Yani unazid kutiririsha dharau 😰 naumia ujueYani mnashindwa bando la wiki na mpo pamoja? Sasa watoto mtawalisha nini au ndio watanyonya hadi wajue kujitegemea?
Mgeni alikua anakula mtoto akamwambia Mama huyu mgeni anakula sana mchele wetu utawahi kuisha 🤣Ugenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti.
Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume au mke.
Unaweza kufika ugenini kumbe mmoja hana taarifa ile tu unaingia unaona watu Hawana furaha.
Kuna ndugu yangu aliwahi kunisimulia kuwa alikwenda mahali kumsalimia Shangazi yake.Mawasiliano yote alikuwa akifanya na Shangazi yake.
Mara baada ya kuwasili tu nyumbani na hata hajaingia ndani mume wa Shangazi yake anauliza huyu kijana amekuja kufanya nini hapa?
Chagua moja niondoke mimi au aondoke shangazi yako?
Mwenye Shangazi yake akakaa Kimya na kuendelea kumwandalia mgeni Chakula.
Anaeleza kuwa hakujisilia vizuri.
Wewe ulikumbana na nini ugenini?
mie nshawah kulazwa chumba ki1 na kuku na bata🤣🤣 asbui nkaulz hamna gest hap karib ili nilale izo siku mbil zilobakia uku nwe nakuja kula tu nakushinda wenyej wakaw wamehis ktu wakaniulz kwan vp nkawqambia hapn uwa nahitj utuliv nkilala ooh wakajiongez wakanmbia bas anko leo utalala nyumba kubw watoto watalala banda la uwan nkalala pazur atlist bt swez sahau day1 yn bata wanatmbea kweny net alaf godor lipo chin yn mixa km utitir ikanfany had leo kwendag kutembea kwa ndug mie nadra sn labd msiba harus ten sio sehem kulala uko ukoUgenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti.
Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume au mke.
Unaweza kufika ugenini kumbe mmoja hana taarifa ile tu unaingia unaona watu Hawana furaha.
Kuna ndugu yangu aliwahi kunisimulia kuwa alikwenda mahali kumsalimia Shangazi yake.Mawasiliano yote alikuwa akifanya na Shangazi yake.
Mara baada ya kuwasili tu nyumbani na hata hajaingia ndani mume wa Shangazi yake anauliza huyu kijana amekuja kufanya nini hapa?
Chagua moja niondoke mimi au aondoke shangazi yako?
Mwenye Shangazi yake akakaa Kimya na kuendelea kumwandalia mgeni Chakula.
Anaeleza kuwa hakujisilia vizuri.
Wewe ulikumbana na nini ugenini?
Unaumia umepigwa? Jibu nilichohojiYani unazid kutiririsha dharau 😰 naumia ujue
usinifokee na mb chache zanguUnaumia umepigwa? Jibu nilichohoji
Muunge mtoto mzuri kifurushi awe active akutane na wandoto zake 😂Alishaacha baada ya kuotewa
😅😅😅😅😅polemie nshawah kulazwa chumba ki1 na kuku na bata🤣🤣 asbui nkaulz hamna gest hap karib ili nilale izo siku mbil zilobakia uku nwe nakuja kula tu nakushinda wenyej wakaw wamehis ktu wakaniulz kwan vp nkawqambia hapn uwa nahitj utuliv nkilala ooh wakajiongez wakanmbia bas anko leo utalala nyumba kubw watoto watalala banda la uwan nkalala pazur atlist bt swez sahau day1 yn bata wanatmbea kweny net alaf godor lipo chin yn mixa km utitir ikanfany had leo kwendag kutembea kwa ndug mie nadra sn labd msiba harus ten sio sehem kulala uko uko
Mxiuuu 😂Alishaacha baada ya kuotewa
Sawa sasa watoto mtawalisha nini?usinifokee na mb chache zangu
Typing errorMxiuuu 😂
ubuyuSawa sasa watoto mtawalisha nini?
Kumbe ndio maana huwa nasubiri ufike hadi nasinzia? EhHakuna dharau ya ugenini ilikuwa inanikera sana kama kuzungushwa zungushwa huku na kule kwa taksi, kumbe safari yangu ilikuwa ni mtaa wa nyuma tu hapo.
Ova
Mtanunua na nini? Nilitaka kusahau kumbe upo dodoma mibuyu ipo ya bure kabisa.ubuyu
Wengine wanaenda ugenini kutafuta na kuanza maisha?Ktk maisha mi nlijifunza kitu kimoja muhimu sana tutafute pesa.
Pesa inaheshimisha sana jitaid sana km ww huna pesa bas utoke familia yenye pesa hii inasaidia sana
Ni ndugu wachache sana wanaweza mletea roho mbaya mtu mwenye pesa akiwatembelea
Ukiwa na pesa ukitangaza safari nakuja dar unatoka mkoa kila ndugu atataka ufikie kwake sabu wanajua watafaidika na uwepo wako.
Dharau na mateso meng tunayokutana nayo ugenini huletwa na kipato ata ukienda kwa ndugu tajiri ila na ww unakipato chako kizur ni ngumu sana kudharaulika