Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Ugenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti.
Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume au mke.
Unaweza kufika ugenini kumbe mmoja hana taarifa ile tu unaingia unaona watu Hawana furaha.
Kuna ndugu yangu aliwahi kunisimulia kuwa alikwenda mahali kumsalimia Shangazi yake.Mawasiliano yote alikuwa akifanya na Shangazi yake.
Mara baada ya kuwasili tu nyumbani na hata hajaingia ndani mume wa Shangazi yake anauliza huyu kijana amekuja kufanya nini hapa?
Chagua moja niondoke mimi au aondoke shangazi yako?
Mwenye Shangazi yake akakaa Kimya na kuendelea kumwandalia mgeni Chakula.
Anaeleza kuwa hakujisilia vizuri.
Wewe ulikumbana na nini ugenini?
Mgeni alikua anakula mtoto akamwambia Mama huyu mgeni anakula sana mchele wetu utawahi kuisha 🤣
 
Ugenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti.
Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume au mke.
Unaweza kufika ugenini kumbe mmoja hana taarifa ile tu unaingia unaona watu Hawana furaha.
Kuna ndugu yangu aliwahi kunisimulia kuwa alikwenda mahali kumsalimia Shangazi yake.Mawasiliano yote alikuwa akifanya na Shangazi yake.
Mara baada ya kuwasili tu nyumbani na hata hajaingia ndani mume wa Shangazi yake anauliza huyu kijana amekuja kufanya nini hapa?
Chagua moja niondoke mimi au aondoke shangazi yako?
Mwenye Shangazi yake akakaa Kimya na kuendelea kumwandalia mgeni Chakula.
Anaeleza kuwa hakujisilia vizuri.
Wewe ulikumbana na nini ugenini?
mie nshawah kulazwa chumba ki1 na kuku na bata🤣🤣 asbui nkaulz hamna gest hap karib ili nilale izo siku mbil zilobakia uku nwe nakuja kula tu nakushinda wenyej wakaw wamehis ktu wakaniulz kwan vp nkawqambia hapn uwa nahitj utuliv nkilala ooh wakajiongez wakanmbia bas anko leo utalala nyumba kubw watoto watalala banda la uwan nkalala pazur atlist bt swez sahau day1 yn bata wanatmbea kweny net alaf godor lipo chin yn mixa km utitir ikanfany had leo kwendag kutembea kwa ndug mie nadra sn labd msiba harus ten sio sehem kulala uko uko
 
😅😅😅😅😅pole
 
Ktk maisha mi nlijifunza kitu kimoja muhimu sana tutafute pesa.
Pesa inaheshimisha sana jitaid sana km ww huna pesa bas utoke familia yenye pesa hii inasaidia sana

Ni ndugu wachache sana wanaweza mletea roho mbaya mtu mwenye pesa akiwatembelea

Ukiwa na pesa ukitangaza safari nakuja dar unatoka mkoa kila ndugu atataka ufikie kwake sabu wanajua watafaidika na uwepo wako.
Dharau na mateso meng tunayokutana nayo ugenini huletwa na kipato ata ukienda kwa ndugu tajiri ila na ww unakipato chako kizur ni ngumu sana kudharaulika
 
Wengine wanaenda ugenini kutafuta na kuanza maisha?
 
Back
Top Bottom