Dhuluma za Wakenya kwa bandari yetu

Dhuluma za Wakenya kwa bandari yetu

Wakuu,

Wakenya wanaiua bandari yetu kimya kimya.

Hivi karibuni makampuni kadhaa hapa Tanzania yameanza kupeleka bidhaa zao Bandari ya Mombasa baada ya nafasi za shipping line maarufu ya Maersk kukosekana kabisa hapa nchini.

Msafirishaji akiangalia nafasi za kuexport mzigo kwa hapa nchini hapati ila akifanya hivyo kwa Mombasa anakuta nafasi za kutosha.

Ipo haja ya mamlaka za Serikali kuamka na kukemea hujuma hii kwani ikiachwa iendelee bandari ya Dar inakufa ikijiona.
Porojo zile zile kama za Jiwe. Kila siku kulalamikia Mabeberu wasiokuwepo
 
Kama kawaida kila kitu lazima walaumu na kuingiza ule ujinga wao wa intelligence na mipasho, wamesahau ile ni biashara and is all about numbers, hakuna uchawi wala intelligence hapo ni price tuu na speed ya kuingiza na kutoa mzigo bila usumbufu, ondoa usumbufu na matozo ya kijinga kwa wafanyabiashara then speed up processing time ya kuingiza na kutoa mizigo wafanyabiashara wote watarudi
 
Watanzania huwa hatutaki kubeba dhamana na uwajibikaji. Hili ni tatizo letu sio la wakenya. Nini hakiendi sawa?
Mkuu hapo wa kulaumiwa na kuwajibishwa ni hao watendaji wa Serikali na Serikali yenyewe.

Sasa kama hayo makampuni yameona Kenya kuna space ndio wakae wasubirie Serikali yetu iliyosinzia iwatafutie space ambazo hazipo wakati wao ni wafanyabiashara na wana order kibao za wateja wao. Ndi maana wameamua kukimbilia Kenya
Tuna uzembe mwingi sana Mkuu halafu lawama tunataka kuwapa wengine.

Just imagine kama space Dar imekuwa ni ndogo kwani bandari ni Dar tu,kwa nini wasingeipa shavu na bandari ya Tanga mizigo ikachukuliwe huko,ni akili ndogo tu wala ahihitaji kwenda shule. Hapo sia ajabu mtu mroho wa serikalini mmoja ameona akipeleka Tanga hatapata mtonyo wowote kaamua kiuumiza nchi mazima,na huenda huko Kenya sia ajabu port charges zikawa ni ndogo wakahamia mazima huko huko.
 
We like living a miserable life by pretending that we are not causing it. Hatujaamua kufanya mambo yetu yabadilike. Tusiwalaumu wakenya
 
Wakuu,

Wakenya wanaiua bandari yetu kimya kimya.

Hivi karibuni makampuni kadhaa hapa Tanzania yameanza kupeleka bidhaa zao Bandari ya Mombasa baada ya nafasi za shipping line maarufu ya Maersk kukosekana kabisa hapa nchini.

Msafirishaji akiangalia nafasi za kuexport mzigo kwa hapa nchini hapati ila akifanya hivyo kwa Mombasa anakuta nafasi za kutosha.

Ipo haja ya mamlaka za Serikali kuamka na kukemea hujuma hii kwani ikiachwa iendelee bandari ya Dar inakufa ikijiona.
Mkuu, 'Stroke', sijakusoma kitambo; hii ina maana nimetokea kukuelewa unaposimamia vyema zaidi hivi karibuni kuliko nilivyowahi kukufahamu huko nyuma, hasa enzi za Magufuli.

Lakini hayo tuyaache, tutazame hii hali mpya inayojitokeza sasa. Hao majirani sasa hivi wanafanya juhudi kubwa sana kutaka kuturudisha kwenye mstari wao. Wewe angalia juhudi za utalii, tulishawapiga bao, sasa sisi ndio tunaojipeleka kwao tushirikiane, tugawane watalii.

Maersk ni shirika moja tu wanalotaka kulitumia kuturudisha mfukoni mwao. Hivi sasa mikakati yao ni kuhakikisha mashirika makubwa ya nje yanayokuja kufanya biashara maeneo haya ya huku kwetu, ofisi zao kuu zinawekwa hapo kwao, sisi tunakuwa ni kama 'satillite' yao tu! Hii ni mikakati ambayo Samia ameaumua kujitosa, sijui kwa faida ya nani.
 
Yaani mwizi anakimbia wakati hakuna mtu anaye mfukuza, that is what Tanzanians kama wewe think. Kenya haina shughuli yeyote na Tanzania wala mpango kama huo ambayo wewe unajiaminisha, hii tabia ya kusingizia Kenya kila mapungufu yenu ilianzishwa na priopaganda, sasa raiya wengi hawana uwezo wa critical thinking, akili zimeganda!, sasa ona ulivyo onyesha mapungufu yako, blind patriotism on display, u cant think! 😂 😂 😂 😂 ., port activities in Kenya are just running normal with specific policies and objectives for effeiciency, Tanzania haipo kwa agenda, kwa utalii Kenya is never competing na Tanzania ni vile mmeamka hivi majuzi mmeanza kupiga hela ndefu mnadhani ni sisi tulikua tumewakandamiza ila mlikua mmezubaa tu, now u are doing marketing mnaona matokeo., na bado tofauti ya faida na Kenya ni kidogo sana! 😂 😂 .,
Tukirudi kwa port business, sasa Maersk na mashirika mengine wenyewe wakiamua kuweka headquarters zao Kenya kutokana na utafiti wao na mapendeleo yao wewe unaona eti ni Kenya imewalazimisha eti? wao ni multinational sio wanyonge wakubebwa ujinga na kanchi kadogo kama Kenya, kwani wao ni wapumbavu aje walazimishwe ama kushurutishwa kuwekeza Kenya?😂 😂 😂 😂 😂, In maana kwa hizi fikra zako uchwara, vile Kenya iko na headquarters kibao ya several international media houses, organizations kama UNEP na kampuni mingi tu ni Kenya imewashauri na kuwabana wasiende nchi nyingine Africa waje tu hapa Kenya? wacha kuaibisha watanzania, hope hizi ni fikra zako za kibinafsi na sio mtazamo wa wenzako maana huu ni ujinga wa kupindukia 😂 😂 😂 😂 😂 ., kila mnapofeli usiwe mwepesi wa kulaumu nchi jirani, tengeneza mikakati na miundo mbinu ili na nyinyi muweze ku attract investors, ushamba peleka mbali wewe kilaza., investors wanafanya uamuzi wao kutokana na several factors zinazo wapendeza na ni advantage kwa biashara yao., jaribu kufanya utafiti uwache kukurupuka tu ovyo ovyo.,
 
Kwanza uandishi wako tu ni wa kipuuzi; kwa kawaida huwa sisomi maandishi ya namna hii, lakini kwa kuwa umeni'quote' imenilazimu niharibu muda wangu juu yako.
uwezo wa critical thinking, akili zimeganda!, sasa ona ulivyo onyesha mapungufu yako, blind patriotism on display, u cant think! 😂 😂 😂 😂 ., port activities in Kenya are just running normal with specific policies and objectives for effeiciency, Tanzania haipo kwa agenda, kwa utalii Kenya is never competing na Tanzania ni vile mmeamka hivi majuzi mmeanza kupiga hela ndefu mnadhani ni sisi tulikua tumewakandamiza ila mlikua mmezubaa tu, now u are doing marketing mnaona matokeo., na bado tofauti ya faida na Kenya ni kidogo sana
Unajuwa maana ya 'critical thinking', au umesikia tu ikitajwa tajwa na wewe ukaona uitumie uonekana mjuaji? Utaeleza vipi kwamba akili yangu imeganda, imeganda wapi. Halafu, hiyo 'blind patriotism' ndio kitu gani
Bila shaka wewe ni mtu wa kutoka huko ndiyo sababu unaandika hivi, kana kwamba hujui historia ya wizi iliyodumu miaka na miaka hadi karibuni ilipoanza kudhibitiwa. Wewe hujui wizi wa madini kupitia huko mipakani? Huo ni mfano mmoja tu, kuna mifano tele ninayoweza kukupa kuhusu utegemezi wa Kenya kwenye wizi wa mali za Tanzania. Halafu unajileta hapa na kusema "kusingizia"!

This shit is not worth wasting my time on. Acha nikuache. Lakini huenda kuna siku tutakutana tena nikupe chai yako stahiki.
 
Wengine tumejua siku nyingi hujuma za kimafia za kenya. Sio kwamba mambo yanatokea tu. Ndio maana hatuamini kwenye ushindani wa soko peke yake.

Tunaamini soko linaweza kukamatwa kwa hila na ujanja. Kwa hivyo tunaamini kwenye udhibiti wa soko. Hapa lazima inteligensia yetu kufanya kazi kama ni genuine problem tuweze rekebisha. Kama kuna mtu anakunywa tujue.
Tutapambana nao na hawa hawa UVCCM au tuna intelijensia nyingine
 
Kwanza uandishi wako tu ni wa kipuuzi; kwa kawaida huwa sisomi maandishi ya namna hii, lakini kwa kuwa umeni'quote' imenilazimu niharibu muda wangu juu yako.

Bila shaka wewe ni mtu wa kutoka huko ndiyo sababu unaandika hivi, kana kwamba hujui historia ya wizi iliyodumu miaka na miaka hadi karibuni ilipoanza kudhibitiwa. Wewe hujui wizi wa madini kupitia huko mipakani? Huo ni mfano mmoja tu, kuna mifano tele ninayoweza kukupa kuhusu utegemezi wa Kenya kwenye wizi wa mali za Tanzania. Halafu unajileta hapa na kusema "kusingizia"!

This shit is not worth wasting my time on. Acha nikuache. Lakini huenda kuna siku tutakutana tena nikupe chai yako stahiki.
Mnaibiwa kwa vile ya upumbavu wenu na ufisadi kwenye department za serikali na within security operatives, private businessmen working with foreigners to plunder your country kisha CCM inasingizia Kenya., nyambaff, kama mimi nimeshihudia kikundi cha wezi kutoka Tanzania wanashirikiana na immigration officials wa Tanzania at border points, they steal high end cars from Kenya., wana register Tanzania na kuuza kwingine., walimuibiya jirani yangu Prado Tx mpya, new model, ilishikwa namanga kabla ya kuvushwa border, watanzania watatu walikamatwa, na sio mara ya kwanza, wanashirikiana na wakenya, sasa na mimi niseme ni serikali ya Tanzania ina huhjumu wakenya kisa kuna cartels kwa immigration department ya Tanzania? itakua ni upuzi huo., criminal elements are all over., ila hii thread imeonyesha ujinga ambao wana CCM wanayo., fikra za ki fala sana., try to think, idiot.
 
Mkuu, 'Stroke', sijakusoma kitambo; hii ina maana nimetokea kukuelewa unaposimamia vyema zaidi hivi karibuni kuliko nilivyowahi kukufahamu huko nyuma, hasa enzi za Magufuli.

Lakini hayo tuyaache, tutazame hii hali mpya inayojitokeza sasa. Hao majirani sasa hivi wanafanya juhudi kubwa sana kutaka kuturudisha kwenye mstari wao. Wewe angalia juhudi za utalii, tulishawapiga bao, sasa sisi ndio tunaojipeleka kwao tushirikiane, tugawane watalii.

Maersk ni shirika moja tu wanalotaka kulitumia kuturudisha mfukoni mwao. Hivi sasa mikakati yao ni kuhakikisha mashirika makubwa ya nje yanayokuja kufanya biashara maeneo haya ya huku kwetu, ofisi zao kuu zinawekwa hapo kwao, sisi tunakuwa ni kama 'satillite' yao tu! Hii ni mikakati ambayo Samia ameaumua kujitosa, sijui kwa faida ya nani.
"Tutaendelea kukuza uchumi wetu na maendeleo yetu kwa TOZO zetu wenyewe" alisema bwana fulani kutoka wizara tukufu ya fedha
 
Mkuu, 'Stroke', sijakusoma kitambo; hii ina maana nimetokea kukuelewa unaposimamia vyema zaidi hivi karibuni kuliko nilivyowahi kukufahamu huko nyuma, hasa enzi za Magufuli.

Lakini hayo tuyaache, tutazame hii hali mpya inayojitokeza sasa. Hao majirani sasa hivi wanafanya juhudi kubwa sana kutaka kuturudisha kwenye mstari wao. Wewe angalia juhudi za utalii, tulishawapiga bao, sasa sisi ndio tunaojipeleka kwao tushirikiane, tugawane watalii.

Maersk ni shirika moja tu wanalotaka kulitumia kuturudisha mfukoni mwao. Hivi sasa mikakati yao ni kuhakikisha mashirika makubwa ya nje yanayokuja kufanya biashara maeneo haya ya huku kwetu, ofisi zao kuu zinawekwa hapo kwao, sisi tunakuwa ni kama 'satillite' yao tu! Hii ni mikakati ambayo Samia ameaumua kujitosa, sijui kwa faida ya nani.
Umeongea points nzuri Sana.

Hilo la makampuni makubwa kuwa na HQs huko Nairobi, hilo Ni kweli kabisa na wakenya wamefanikiwa Sana.

* Ukiangalia Banks kubwa zote za hapa TZ, HQs zake zipo Nairobi (ukiondoa hizi CRDB na NMB).

* Ukiangalia Insurance Company kubwa zote za hapa Tanzania, HQs zake zipo Nairobi

* Ukiangalia hizo shipping company kubwa, HQs zake zipo Nairobi

* Ukiangalia consumer goods company HQs zake zipo Nairobi

Kwa kifupi wakenya wamefanikiwa Sana kwenye vita ya kiuchumi dhidi ya Tanzania. Na ndio maana Balance of payments between Kenya na Tanzania haiwezi kuwa sawa. Sisi tunawapeleke mahindi (ndio export yetu kubwa, wao wanatuletea industrial and consumer goods), Sasa hapa balance of payments itakuwaje sawa.

Wakenya wame acquire viwanda vingi tu hapa Tanzania na mwisho wamevigeuza kama distribution centers (wakatengeneza bidhaa huko kwao na kuleta hapa na kuuza kupitia hizi kampuni za Tanzania ambazo wamezigeuza kuwa just warehousing).

Ukiangalia kwa undani Sana, kitendo cha kuwaruhusu kumiliki banks nyingi Sana hapa Tanzania, maana yake wameushikilia huu uchumi wetu kwa mikono miwili. Kwa hiyo utakuja kuta katika Hali ya kawaida Kenyan companies zinakuwa na competitive advantage dhidi ya Tanzanian companies linapokuja swala zima la priorities kwenye financing za biashara (wakenya watakuwa wanasaidia Sana)

Ukweli Ni kwamba Usalama wa Taifa umefeli pakubwa Sana kwenye ili Jambo. Wao walitakiwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha Tanzanian wanakuwa vinara kwenye kumiliki uchumi (sio wa Kenya Wala Indians).

Mimi Nina mifano mingi na ninajua namna gani hawa wa Kenya wanatudidimiza, Ila shida inabakia kwa Usalama wa Taifa letu, wameweka siasa Mbele Sana.
 
Last five yrs sera zetu hasa za kodi na tozo kwenye Freight forwarding, Shipping cargo handling zimekuwa zikipandishwa, serikali kutaka kumiliki kila kipatikanacho kwa kuihuisha Tasac, ilifika wakati mpaka Psptb wana clear mizigo. Haya yote yamechangia Shipping line kuhama.

Maersk for last 4 or 3 yrs walikuwa wanjiondoa kwenye masoko yasiyokuwa na faida kubwa ikiwemo Tanzania. Walipunguza mpaka wafanyakazi.

Cost of doing business, lots of compliance agencies to regulate business wawekezaji wanasepa. Sio maersk tuu hata DHL kitengo cha Shipping waliterminate wafanyakazi wote. Sera za mwendazake zilisikilza zaidi porojo za marehemu Renatus Mkinga badala ya kuwekeza Chuo cha bandari na cha kodi reseach and development departments.
 
Back
Top Bottom