pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Inahitaji umakini mkubwa kumwelewaDiamond ni bonge la Mwandishi.
SANAA ILIYOTUMIKA KWENYE HU WIMBO SIDHANI KAMA AMEELEWEKA NA WENGI!!!
NI WIMBO UKO VERY SATIRICAL!.
UKIBISHQ UMEAMUA KUCHOSHA VIDOLE VYAKO!!
Ni afadhali aside na mtu mmoja mkamilifu kuliko kuside na wauza ngada na matapeli wengi wa kuharibu nchi. Hila zenu zimekwama nyumbu nyie.Very disappointed diamond umejua kuniudhi leo najua hakuna mkamilifu na hakuna wa kukupangia lakini mimi nampenda diamond yule wa sanaa sio wa siasa! tulia mdogo wangu ulee wanao tifa na nillan siasa ni mchezo mchafu wa mabandidu usifikiri unauchungu peke yako jaribu kuto take side pia nibora ujiwekee hazina ya watu wengi sababu biashara yako inaitaji watu wengi kuliko huyo bashite wako mmoja wale mahasimu wako wanakucheka wanajua one mistake one goal! mdogo wangu please stop usijichimbie shimo kwa mkono wako [emoji144][emoji144]
Wengi hawajataka kuumiza akiliSANAA ILIYOTUMIKA KWENYE HU WIMBO SIDHANI KAMA AMEELEWEKA NA WENGI!!!
NI WIMBO UKO VERY SATIRICAL!.
UKIBISHQ UMEAMUA KUCHOSHA VIDOLE VYAKO!!
Kausikilize upya punguza hasira kwa bashite ndo utauelewa wimboVery disappointed diamond umejua kuniudhi leo najua hakuna mkamilifu na hakuna wa kukupangia lakini mimi nampenda diamond yule wa sanaa sio wa siasa! tulia mdogo wangu ulee wanao tifa na nillan siasa ni mchezo mchafu wa mabandidu usifikiri unauchungu peke yako jaribu kuto take side pia nibora ujiwekee hazina ya watu wengi sababu biashara yako inaitaji watu wengi kuliko huyo bashite wako mmoja wale mahasimu wako wanakucheka wanajua one mistake one goal! mdogo wangu please stop usijichimbie shimo kwa mkono wako [emoji144][emoji144]
Sidhani kama wimbo ni mgumu ki hivyo... Uko wazi sana.. Na upande alochagua kutetea u wazi kabisa..Inahitaji umakini mkubwa kumwelewa
Jamaa kama kawa neutral ivi haja sideSidhani kama wimbo ni mgumu ki hivyo... Uko wazi sana.. Na upande alochagua kutetea u wazi kabisa..
Mh ndugu kwa hio kila mtu uliemkubali akijaribu kufanya jambo dogo tu litalohusiana na usiyemkubali basi na yeye ataingia katika orodha ya usiowakubali? Kama ni ndio basi kazi ipo.