pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Very disappointed diamond umejua kuniudhi leo najua hakuna mkamilifu na hakuna wa kukupangia lakini mimi nampenda diamond yule wa sanaa sio wa siasa! tulia mdogo wangu ulee wanao tifa na nillan siasa ni mchezo mchafu wa mabandidu usifikiri unauchungu peke yako jaribu kuto take side pia nibora ujiwekee hazina ya watu wengi sababu biashara yako inaitaji watu wengi kuliko huyo bashite wako mmoja wale mahasimu wako wanakucheka wanajua one mistake one goal! mdogo wangu please stop usijichimbie shimo kwa mkono wako [emoji144][emoji144]