Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Huyu Diamond ndio basi tena..

Kumbe na yeye ni empty headed.. zero brain.. hana UBONGO kabisa wa kutafakari mambo..

Amekubali kucheza ngoma ya Bashite..

Amesha loose kila kitu kwenye muziki wake.

Asubiri kutumika wakati wa kampeni za ccm..

Basi.
 
*Diamond ni kiumbe pekee duniani kinachosema kikae kimya huku kinaongea*..[emoji23][emoji38][emoji38]
 
Mduanzi long tym kwanza hana anachojua zaidi ya kumjaza kibibichake minba
 
Mkuu hebu kuwa mtu mwenye kuelewa FASIHI,kasema "acha akae KIMYA" wakati huo huo katoa wimbo unaoelezea matukio hayo anayosema akae kimya je, HAPO KAKAA KIMYA AU KAONGEA ????
 
Mkuu hebu kuwa mtu mwenye kuelewa FASIHI,kasema "acha akae KIMYA" wakati huo huo katoa wimbo unaoelezea matukio hayo anayosema akae kimya je, HAPO KAKAA KIMYA AU KAONGEA ????
Kasikilize tena utaelewa nn anamanisha
 
Kasikilize tena utaelewa nn anamanisha
Nimeusikiliza vizuri sana,kama hujui FASIHI hutaelewa alichokimaanisha,maana anaimba wacha akae kimya wakati huo huo ANAYAONGELEA na jamii inasikia.
 
Mtu anaechukulia suala la vyeti kua ni upuuzi mimi huwa namuona mpuuzi zaidi.
Wanajua gharama ya cheti?
Basi Kenya wasingepata tabu ya kutafuta madaktari wenye vyeti, Vihiyo wamejaa tele wangebebwa tu.
Watu wakiongelea vyeti kwani inawazuia kusaka hela?
Mbona na yeye kaongelea sasa?
 

ivi we ni mke wa makonda? Mbona unamuingiza makonda hata kwa mada zisizo muhusu!
Msifie ukiwa nae tuondolee nuksi kwenye uz!
 
Sijapenda nyimbo yake iko kinafiki sana juz2 hapa ulikuwa na RC MAKONDA leo unajaribu kumsafisha pole sana hapo hakuna usimba ndugu ww kazi yk kuimba2 sio siasa sasa kama umepewa hela pole sana
 


Ni kweli ujumbe wa jumla anaoutoa ni kwamba, mambo hayaendi sawa!!
 
Reactions: BAK
Simba awa nyau.

Sijapenda nyimbo yake iko kinafiki sana juz2 hapa ulikuwa na RC MAKONDA leo unajaribu kumsafisha pole sana hapo hakuna usimba ndugu ww kazi yk kuimba2 sio siasa sasa kama umepewa hela pole sana
 
Makamba alikuwa mkuu wa mkoa wa dar kwa takribana miaka kama sita iv na hana cheti chichote......ukuu wa mkoa haina utofauti ni ubunge haihitaji elimu ya form six ili uwe mkuu wa mkoa au wilaya izo ni nyasifa za kisiasa......ebu tifautisha kati ya daktari na mkuu wa mkoa tumia akili kutafakari mambo usiendee kama ling'ombe
 
Huyu Diamond ndio basi tena..

Kumbe na yeye ni empty headed.. zero brain.. hana UBONGO kabisa wa kutafakari mambo..

Amekubali kucheza ngoma ya Bashite..

Amesha loose kila kitu kwenye muziki wake.

Asubiri kutumika wakati wa kampeni za ccm..

Basi.

Hivi hakuna wasanii waliotumika kwenye kampeni za chadema kweli?? Huyu anayedaiwa kutekwa hakuifanyia kampeni chadema kweli??
 

Wewe hujui mwenzio hiyo kwake ni fursa anaitumia na kesho utasikia melody ya hiyo nyimbo inatumika kwenye tangazo na kumuingizia mamilioni...we endelea na ubwege wa kubwabwaja hovyo wakati wenzio wanabwabwaja kwa akili na ku make money..
 

Salute...

Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...


Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...

Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!

Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…