Hivi kitenge uandishi wa habari alisomea wapi?
Muhulize BashiteHivi kitenge uandishi wa habari alisomea wapi?
Ni muulize, sio muhulize!Muhulize Bashite
Swissme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni muulize, sio muhulize!
Bashite ndo nani??
Wandanganye Wazee wenzio......Ningekuwa Gwajima ningemfungulia Diamond kesi nimdai fidia ya kutumia jina langu kibiashara. Tena ni jinai kutumia jina la mtu kuimba kitu ambacho hujamshirikisha mwenye jina
Tunga wakobashite kampotosha dogo, hats Mimi nimekuww fan wake lakini kwa hili amekosea. kutetea uovu wa bashite. kazi anayo na itampunguzia fan base wa kutosha
Peruzi u-tube utaukuta.....!bashite kampotosha dogo, hats Mimi nimekuww fan wake lakini kwa hili amekosea. kutetea uovu wa bashite. kazi anayo na itampunguzia fan base wa kutosha
Though kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni siku zote usitegemee kupata mapokeo chanya......Wanaopigania uhuru wa maoni na kujieleza...wao wenyewe ndio wa kwanza kutoheshimu maoni ya wengine yanayokinzana na mitazamo yao.......
Kwao maoni yanayofaa ni yale yanayopendeza masikioni mwao na mioyoni mwao......hawako tayari kusikia maoni ya wengine yanayokinzana na fikra zao.....
Alafu watu hao hao wanajiita ni wanaharakati wakipigania uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.........
Mimi binafsi nachukulia alichozungumzia Msanii Diamond ni maoni yake au mtazamo wake kama ambavyo mwengine angetoa maoni yake na watu wangeshangilia na kumuita shujaa.......
Only in Tanzania......
Mimi hupenda sana kazi za huyu mtoto. Ila sijui kapatwa na nini kwa kweli. Kanitoka kabisa. Ana sababu gani ya kukubali kutumiwa?View attachment 492837
Salute...
Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...
Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...
Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!
Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..