Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Mm si shabiki wa dai ila wimbo huu wa kukaa kimya kweli wimbo kacheza matukio nikipaji.
 
Makonda na Diamond wote wapo chini ya GSM kwa ufadhili,Diamond anamtetea tu Makonda,wimbo wenyewe anawashangaa watu wanaohoji vyeti na mambo ya kidhalimu,eti wakatafute ugali so mambo yaende kama yalivyo.

Mlezi wa WCB ni Makonda,kwenye wasanii waliolipwa mamillioni na CCM Diamond ni top,hawezi ikosoa CCM wala watu wake,ataishia kukenua lips zake tu!!
 
Kwa alivyogonga mwamba kwa huo wimbo Bashite atamdai chenji muda sio mrefu tusubiri
 
Diamond yeye akae tu kimya maana hata akipotea hatakuwa gumzo kwangu kama Roma
 
Ningekuwa Gwajima ningemfungulia Diamond kesi nimdai fidia ya kutumia jina langu kibiashara. Tena ni jinai kutumia jina la mtu kuimba kitu ambacho hujamshirikisha mwenye jina
 
Ningekuwa Gwajima ningemfungulia Diamond kesi nimdai fidia ya kutumia jina langu kibiashara. Tena ni jinai kutumia jina la mtu kuimba kitu ambacho hujamshirikisha mwenye jina
Wandanganye Wazee wenzio......

Umedanganya ata Id yako huna hekima yoyote....!
 
japo sisapoti vyeti feki (if any) na kuvamiwa kwa vituo vya habari i.e clouds (reality), ila ujumbe na maoni yako yameshawafikia watanzania walio wengi (walengwa)...na ninavoona reaction ya huu wimbo wako kutoka kwa wadau mbali mbali whether positive or negative, at least I can get a picture how big you are in this country...nimependa wimbo kwa ujumla wake kama shabiki wa damu na mpenda music mtamu,una uhuru binafsi wa kutoa maoni yako kupitia njia unayoona ni sahihi ikiwemo muziki wako kama nay wa mitego pia alivyoweza kutumia tasnia hii hii na yeye kutoa maoni yake binafsi. Huna kosa hatupaswi kuforce tufanane!
 
Thanks Bishop Gwajima,department ya chemistry inakutegemea...
f5ba1f9dcfea8839e0463647cc643a7a.jpg
 
Si mchezo kazi ya ziada joto linapanda mpaka 1800 kj halafu litashushwa.
Gwajima atapandisha ,kimambi atashusha mpaka negative 165 na maji mengi yatapatikana.
Ukisoma PCM NA PCB UNAENJOY FORMULA HIZI.ILA TATIZO NECTA KUPIMA UELEWA KWA MTIHANI MMOJA TU.
 
Yaani toka tumemalize uchaguzi ni movie tu za bashite hivi tulipiga kura ili tuone movie za bashite mwenye zero brain au tupate maemdeleo sasa hivi nchi tupo kama hatupo naona aibu kujiitatanzania kwa sasa
 
Wanaopigania uhuru wa maoni na kujieleza...wao wenyewe ndio wa kwanza kutoheshimu maoni ya wengine yanayokinzana na mitazamo yao.......

Kwao maoni yanayofaa ni yale yanayopendeza masikioni mwao na mioyoni mwao......hawako tayari kusikia maoni ya wengine yanayokinzana na fikra zao.....

Alafu watu hao hao wanajiita ni wanaharakati wakipigania uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.........

Mimi binafsi nachukulia alichozungumzia Msanii Diamond ni maoni yake au mtazamo wake kama ambavyo mwengine angetoa maoni yake na watu wangeshangilia na kumuita shujaa.......

Only in Tanzania......
Though kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni siku zote usitegemee kupata mapokeo chanya......

Ujue kila oni lina impact yake tegemea na wakati gani linatolewa..

Yanayo mkuta Diamond ni wakati anatoa maoni yake

Swali ni kwamba Diamond alikuwa wapi siku zote asitoe maoni Yale mpaka aje kutoa wakati Tz sasa watu wanaishi kwa hofu,watu wanapotea vyombo vya dola havina majibu

Kwa hilo sitasita kusema Diamond kachemka,usishangae kuona anguko la huyu bwa mdg na huu unaweza kuwa mwanzo hilo anguko........

Nawasilisha.
 
View attachment 492837
Salute...

Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...


Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...

Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!

Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..
Mimi hupenda sana kazi za huyu mtoto. Ila sijui kapatwa na nini kwa kweli. Kanitoka kabisa. Ana sababu gani ya kukubali kutumiwa?
 
Wasanii jiadharini na wanasiasa la sivyo mtapotea na mrsjikuta mnapoteza market potential kwa kazi zenu
 
Back
Top Bottom