Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
we jinsia gani?roma ametekwa na wavuta bange wenzake acha ujinga wewe
Huyu domo yuko kwenye pay roll ya GSM ndiyomaana imekua rahisi Bashite kumshika masikio hasa ukizingatia mziki wake biashara imekua ngumu haoni pesa kama awali.Naye Siku yakimfika tutakaa kimya na kutunga remix ya hii nyimbo...
Hapa ndio pale mtanzania anapotaka kuonyesha kichwani yupo vizuri hvyo awe against wengine daa [emoji82] poor tzWewe ndio unasema juu ya uoga.
Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.
Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.
Amewapa ukweli na maisha ni yake.
Makonda oyeeeeee
Ujauelewa nyimbo weweDiamond ni mnafiki.,ask me why,nitajibu kwa kifupi
1.kama mama yake amemwambia akae kimya kwanini katunga wimbo??Huo ndio ukimya??
Nyerere ambaye ndiye aliwekwa kwa cover ya Huo wimbo alikuwa hakai kimya,alikuwa anaonya,kukemea na Tena akawaencourage vijana wawe na ujasiri WA kuhoji,,Leo hii diamond anasema tukae kimya.,,ubashite huu.
Pia,ameonesha kukerwa na swala la kudiscuss vyeti vya bashite!!,hivyo hakupenda wimbo WA naytruboy!!!,hivyo alitaka wasanii wote wakae kimya!!!!wasihoji,,huyu kijana anawaangusha watz,,sisi tunahoji alipo Roma,wasanii wenzake wamekusanyika kutia juhudi ili mwenzao apatikane,yeye itakuwa alikuwa anarecord(hakutokea pale)
Kwahiyo tiffa akipotelea pasipofahamika napo atakaa kimya?au ni kwa sababu hayajamkuta yeye,??
Ulitaka akae upande gani?Huu wimbo unamuweka upande hasi kabisa asubiri criticism, he will be condemned. Siku akitekwa yeye mama yake ndiye atakayelia mwenyewe maana na wengine watakaa kimya, lakini ameimba vizuri upande wa sauti vina na muziki
Hiyo ni namna tu ya kufikisha ujumbe bila kubughuziwa, lkn I'm sure haja ridhika na kinacho endeleaHapo penyew teyar katafuta kiki, au haujaelewa? Kaamua kuwa tofaut na wanaopingana na serikali, kwabkuongelea matukio yaleyale bt yeye anaamin vingine, angekuwa sio mtafuta kiki angeimba kitu kinginee kabisa kisichohusiana na hali ya sasa,
Ni rahisi kunya fenesi kuliko kumtetea bashite mkuu.Hahaaaaaaaaaaa lilivyo kubwa vile[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu huyu ndio alivyo siku zoteHapa ndio pale mtanzania anapotaka kuonyesha kichwani yupo vizuri hvyo awe against wengine daa [emoji82] poor tz
Mlidhulumiana misokoto? Mlete tuuroma ametekwa na wavuta bange wenzake acha ujinga wewe