Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Naona wengi wanatumia mioyo na hisia instead of brains kufikiri. Kausikilize tena ule wimbo. Diamond "amegoma kukaa kimya" na kaamua kutoka kwa style hii ya wimbo badala ya kwenda Insta kutoa povu lake.
Kaongelea vyeti vya Bashite, utekaji, Bunge kubakwa, Uvamizi Clouds na mwisho "kalia" wapi TZ inakwenda. Japo amepiga dongo kidogo kwa nini watu badala ya kutafuta maisha yao wao wapo busy kubishana kuhusu vyeti vya mtu.