Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Watu wengi hua hawajui kwamba wasanii wengi hua ni maarufu ila hawana hela. Kuna mtu ukimuambia kua Jay Z wa marekani hamfikii Mo Dewji wa bongo kwa hela hawezi kuamini!!

Mkuu Mo Dewji, Bakharesa, Rostam sio watu wazembe wazembe kabisa
 
Acha maneno broo na kuweka picha za kwenye mtandao kama za matapeli wanazoibianazo watu LETA HAPA HATI YA NYUMBA ILI TUJUE NA LAKO HALISI NA LA BABA YAKO
 
Acha maneno broo na kuweka picha za kwenye mtandao kama za matapeli wanazoibianazo watu LETA HAPA HATI YA NYUMBA ILI TUJUE NA LAKO HALISI NA LA BABA YAKO
Unataka hati kwani vita mzee? kama hauamini endelea na maisha yako ujashikiwa bastola.
 
Nadhani Mo sio peke yake ni mali ya family na uhakika wote wanafamilia wana share ila yeye ndio anaongoza kampuni ila na uhakika sio kwamba anamiliki 100% ni family business.
 
Ahaha i understand....ni mitihan mkuu.We humjui ila wengine wanamfahama ( u knw hzi pm things) so unapompa darasa anaona kama umadharirisha 😂😂 hapo ndio vijana walipojiharibia thats y full kubadil IDs ehehehehwh
 
Kuandika ni moja ya profession zangu.
Sawa basi andika kama, mprofessional balance story, hii umeandika kiudaku udaku kuegemea upande ndiyo maana tunakuona kama chawa flani hivi.
 
Nilichogundua kwa akili hizi hatuwezi kuwa na nchi yenye uchumi imara. Kwahiyo wanaangalia share au sio? We ni kilaza tena sana.
Haya angalia ni kwa namna gani utajiri unapimwa maana ww ni chizi.
Tatizo hampendi kujua utajiri unakuwa measured vipi. Kwahiyo kama unashare zenye thamani yenye Bil 500 utaitwa tajiri hata kama una madeni ya Bil 600?
 
Akon ni raia wa Marekani.period.
Bro usibishe tu ilimradi kubisha maana haikusaidii kitu na wala haibadilishi ukweli. Yeye mwenyewe anasema ni msenegal na anatambulika kama msenegal sasa sijui wewe ni nani unayemlazimisha asiwe muafrica.

Kuwa raia wa marekani haimfanyi kuacha kuwa muafrica maana kwenye comment yako ulisema Akon siyo muafrica. Hata Davido alizaliwa marekani na amekulia huko na ni raia wa marekani lakini pia bado anatambulika kama mnigeria.
 
Rudi tena skuli mdogo wangu. Utajiri haupimwi hivyo. Naendelea kusisitiza kuwa wakati unatumia hiyo infinix iliyocrack na ambayo umeachiwa na shemeji yako pitia pitia mitandaoni ujifunze kitu. Tatizo lenu mkitoka The AMAZON COLLAGE mnahisi mshamaliza kujua mambo.
 
Nadhani Mo sio peke yake ni mali ya family na uhakika wote wanafamilia wana share ila yeye ndio anaongoza kampuni ila na uhakika sio kwamba anamiliki 100% ni family business.
Anamiliki 75pc
 
Hivi unaelewa kweli wewe?! Post yangu ilikuwa:-
Leo hii inapotangazwa kwa mfano, Elon Musk amempiku Jeff Bezos kwa utajiri, sio kwamba kuna pesa ya ziada imeingia kwenye akaunti ya Elon bali thamani ya hisa zake imepanda!!!
Na nimekuonesha hapo majarida mawili makubwa duniani wakati yanataja mtu mmoja anavyompiku mwingine, wewe unaniletea definition of wealth kama inavyofundishwa darasani!!
 
Jenga hoja dadangu, matusi hayatakusaidia sana sana yanathibitisha jinsi gani ulivyo mpumbavu!!!! Halafu sio Collage ni College, jinga sana wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…