CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Mkuu tulia kidogo afu pitia huo ujumbe wangu na wako. We unadhani Profit inatolewa tu kwa shareholders? Kuna some issues zinakuwa covered then kinachobakia ndio tunaita gawio ambalo ndio wanapata. Kuhusu share kuongezeka thamani hiyo ni kawaida lkn pia inaweza kushuka maana usikariri tu.Wewe ndo finance manager au accountant wa Wasafi Media hadi ufahamu wana-operate in losses, au?! Kwamba, anachoweza kupata is just dividend basi inaonesha wazi ama huna uelewa wa haya mambo, au umeamua tu kujitoa ufahamu!
Share values zinakuwa as the company makes profit ( for the case of non-listed company),... na huwezi kupuuza hilo!
Kama biashara ilianza kwa sh. 100, yeye share zake zilikuwa na thamani ya Sh. 45! Kama biashara imepata faida na kukua kiasi cha kuwa na thamani ya sh. 200, thamani ya share zake haziwi tena Sh 45!
Leo hii inapotangazwa kwa mfano, Elon Musk amempiku Jeff Bezos kwa utajiri, sio kwamba kuna pesa ya ziada imeingia kwenye akaunti ya Elon bali thamani ya hisa zake imepanda!!!
Kama ulidhania wanagawana FAIDA ondoa hiyo kitu.
Afu nani kakuambia kuwa mtu akitangazwa tajiri ni kwa sababu ya shares zake? We ni kilaza wa mwisho, unaposikia mtu fulani ni TAJIRI hatuangalii hizo shares tu, tunaangalia assets zake ambazo tukizichange tunapata fedha kiasi gani, hapo tunajumuisha Nyumba, mashamba, nk nk nk. Sio kwamba wanaangalia share zake kupanda. How possible kampuni moja afu share za Diamond zipande na za sharaholder ziwe chini? Ile ni kampuni hivyo kinachopanda ni share za kampuni na sio za mtu fulani.
Tatizo lako unaingiza ushabiki wa kitoto. Hapo mwenyewe unakula daku wali maharage huku umeshika Infinix iliyo na cracks na ambayo amekuachia shemeji yako unajiona umeandika nondo kwelikweli.