Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Wewe ndo finance manager au accountant wa Wasafi Media hadi ufahamu wana-operate in losses, au?! Kwamba, anachoweza kupata is just dividend basi inaonesha wazi ama huna uelewa wa haya mambo, au umeamua tu kujitoa ufahamu!

Share values zinakuwa as the company makes profit ( for the case of non-listed company),... na huwezi kupuuza hilo!

Kama biashara ilianza kwa sh. 100, yeye share zake zilikuwa na thamani ya Sh. 45! Kama biashara imepata faida na kukua kiasi cha kuwa na thamani ya sh. 200, thamani ya share zake haziwi tena Sh 45!

Leo hii inapotangazwa kwa mfano, Elon Musk amempiku Jeff Bezos kwa utajiri, sio kwamba kuna pesa ya ziada imeingia kwenye akaunti ya Elon bali thamani ya hisa zake imepanda!!!
Mkuu tulia kidogo afu pitia huo ujumbe wangu na wako. We unadhani Profit inatolewa tu kwa shareholders? Kuna some issues zinakuwa covered then kinachobakia ndio tunaita gawio ambalo ndio wanapata. Kuhusu share kuongezeka thamani hiyo ni kawaida lkn pia inaweza kushuka maana usikariri tu.
Kama ulidhania wanagawana FAIDA ondoa hiyo kitu.
Afu nani kakuambia kuwa mtu akitangazwa tajiri ni kwa sababu ya shares zake? We ni kilaza wa mwisho, unaposikia mtu fulani ni TAJIRI hatuangalii hizo shares tu, tunaangalia assets zake ambazo tukizichange tunapata fedha kiasi gani, hapo tunajumuisha Nyumba, mashamba, nk nk nk. Sio kwamba wanaangalia share zake kupanda. How possible kampuni moja afu share za Diamond zipande na za sharaholder ziwe chini? Ile ni kampuni hivyo kinachopanda ni share za kampuni na sio za mtu fulani.
Tatizo lako unaingiza ushabiki wa kitoto. Hapo mwenyewe unakula daku wali maharage huku umeshika Infinix iliyo na cracks na ambayo amekuachia shemeji yako unajiona umeandika nondo kwelikweli.
 
H baba anaumia boss wake kaenda naija kafikia kwa skales wakati mwenzie kafikia kwake.
Kwa sababu south ana nyumba lazma afikie kwake akienda Ghana au Nigeria lazma afikie kwa mwenyeji wake au hoteli...au nimekosea!!!
 
Mkuu tulia kidogo afu pitia huo ujumbe wangu na wako. We unadhani Profit inatolewa tu kwa shareholders? Kuna some issues zinakuwa covered then kinachobakia ndio tunaita gawio ambalo ndio wanapata. Kuhusu share kuongezeka thamani hiyo ni kawaida lkn pia inaweza kushuka maana usikariri tu.
Kama ulidhania wanagawana FAIDA ondoa hiyo kitu.
Nimekuambia profit inatolewa au nimekuambia kadri kampuni inavyotengeneza faida, na thamani ya hisa inapanda?!

Kuhusu kushuka sawa, lakini nilizungumzia "... as company makes profit" kujibu hoja yako kwamba "...in any company what you'd know is that, we're just dealing with dividends and not Net Profit", kwamba, tuachane na masuala ya gawio ambayo sio muhimu kwa a newly established company lakini hata asipopata gawio, bado share zake zinapanda thamani!
 
Haya rudia kusoma utopolo wako juu kule. Ndio maana nimekuelekeza hapo usije hapa ukadhani unabishana na vitoto vya skuli ya donge. Kampuni tunagawana gawio tena wakati mwingine unaweza usipewe cash ikathamishwa kwenye share zake wa kuziongeza tu.
Nyie watoto wa uswazi mkikosa kazi za kufanya mnakuja kuanzisha vitu havina mashiko yoyote.
 
Jamaa kakufunika alafu unakimbilia mitusi..wewe inaelekea hauna wazazi
 
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.

Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.

Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.

Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.

View attachment 1770265
View attachment 1770266

View attachment 1770269
Kitu watu wanatakiwa wajifunze kutoka kwake ni kuwa inspired na maendeleo yake na sio kuwa hater wakati they own nothing as assets
 
Kuwa na share 45% doesn't mean it will give u a profit of that %, in any company what you'd know is that, we're just dealing with dividends and not Net Profit. And for WCB Company case he only just enjoy a salary as the company oparates in Losses. Unapojaribu kuchambua vitu muhimu basi weka na sababu zenye maana ili tutofautishe kati ya Ushabiki na facts. Anaweza kuwa na hela nyingi sana ndio ila sio kwa kiwango ambacho jamii kubwa mnamdhania. Wasanii wa Bongo kwenye pesa wako overratted sana.
Wasafi Media ina operate kwa hasara?
 
Haya rudia kusoma utopolo wako juu kule. Ndio maana nimekuelekeza hapo usije hapa ukadhani unabishana na vitoto vya skuli ya donge. Kampuni tunagawana gawio tena wakati mwingine unaweza usipewe cash ikathamishwa kwenye share zake wa kuziongeza tu.
Nyie watoto wa uswazi mkikosa kazi za kufanya mnakuja kuanzisha vitu havina mashiko yoyote.

Mkuu unaweza kuwa na hoja nzuri sana, lakini unafanya personal attacks ambazo ni unnecessary.

Acha kujificha kwenye matusi, fafanua hoja zako zieleweke.
 
Acheni uongo CR7 ana mpunga, huyo Mo ni msimamizi wa mali za mzee Gullam.
CR7 pesa alizonazo hazifikii hata nusu ya pesa za Mo.
Kusimamia mali za kina fulani nalo sio tatizo. Mbona Jeff Bezos na Elon Musk wote ni CEOs wanasimamia mali za shareholders. Ila mimi mwenyewe sijawahi elewa utajiri wa Mo umekaaje, baba yake yupo na ndio kaanzisha hiyo fortune. Je tunahesabu mali kwa Gulam au kwa Mo?
 
Kwa level aliofikia nyumba ni kitu kidogo sana.. yaani umiliki media inayosikilizwa na inayotizamwa kama wasafi media halafu ushindwe jenga majumba
Ujinga wetu tunaan na nyumba badala ya investment na kasumba eti kuwa na nyumba ndo umekamilika..... kimsingi nyumba hujengwa kwa faida itokanayo na biashara
 
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.

Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.

Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.

Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.

View attachment 1770265
View attachment 1770266

View attachment 1770269
Achana na nyumba ya diamond, weka yakwako tuione sio kushobokea vya watu
 
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.

Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.

Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.

Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.

View attachment 1770265
View attachment 1770266

View attachment 1770269
Ya kwako iko wapi?
 
Back
Top Bottom