Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Sasa hapo kuna tofauti gani? Ransom ilimuhusu Isaac ingawa mmebadili na kusema ni Ishmael.. tuliache hilo.Wacha kudanganya wewe. Weka source ya hu uharo wako. Soma:
(37:107) And We ransomed him with a mighty sacrifice, 66. “A great sacrifice”: A ram, as mentioned in the Bible and the Islamic traditions, that Allah's angel presented at the time before the Prophet Abraham (peace be upon him), so that he should sacrifice it instead of his son.
Source: Surah As-Saffat Ayat 107 (37:107 Quran) With Tafsir
Mbona swali Ni la ndiyo au hapana?Msikitini si mahala pa kuomba,kanisani huwa Pana kwaya na sebene zaidi ya vurugu za singeli
Nani anae sacrifice hapo? Na nini kinachokuwa "sacrificed"?Sasa hapo kuna tofauti gani? Ransom ilimuhusu Isaac ingawa mmebadili na kusema ni Ishmael.. tuliache hilo.
Kwanini hapo Quran inazungumzia suala la blood sacrifice?
Alikuwa anafanya sacrifice Abraham na aliyekuwa anatakiwa kuwa sacrificed ni mwanaye (Isaka) na ndipo Mungu akamzuia Abraham asimchinje mwanaye bali achukue yule kondoo aliyekuwa amenaswa kwenye kichaka.Nani anae sacrifice hapo? Na nini kinachokuwa "sacrificed"?
Nijibu utakavyo!!?Mbona swali Ni la ndiyo au hapana?
Jibu basi swali
Nilishakuonya usipotoshe nenoBiblia inasema kama aliyetundikwa msalabani ana laana, msikitini hakuna laana.
Kwa Nini Allah alijitolea sacrifice?Wacha kudanganya wewe. Weka source ya hu uharo wako. Soma:
(37:107) And We ransomed him with a mighty sacrifice, 66. “A great sacrifice”: A ram, as mentioned in the Bible and the Islamic traditions, that Allah's angel presented at the time before the Prophet Abraham (peace be upon him), so that he should sacrifice it instead of his son.
Source: Surah As-Saffat Ayat 107 (37:107 Quran) With Tafsir
Ile siyo ibada ni mazoezi ya kwaya,na wana kwaya wana fanya sana hizo mambo,Ni chuki tuhuyo binti akapokelee simu msikitini wenzie wakiendelea na ibada,shenzi kabisa
Jibu ujuavyoNijibu utakavyo!!?
Unaonesha Kingereza kinakupiga chenga, soma tafsiri ya Kiswahili...Kwa Nini Allah alijitolea sacrifice?
Issue sio scene, issue ni maudhui waliyoiigizia huko kanisanBasata wamempa mswahili cha kuongea, nyimbo sijaiona lakini kusema kashoot kanisani ndio afungiwe haiingi akilini.
Nakumbuka banana video ya ZOBA kama sikosei ilikuwa na scene ya kanisani, sikumbuki kama ilifungiwa.
Hakuna mambo ya kingereza Allah alitoa fidia , kwa mnyama alichinjwa na kuwa sacrifice , hii sacrifice ilielekezwa kwa nani?Unaonesha Kingereza kinakupiga chenga, soma tafsiri ya Kiswahili...
104. Tulimwita: Ewe Ibrahim! 104
105. Umekwisha itimiliza ndoto. Hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wanao tenda mema. 105
106. Hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri. 106
107. Basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu. 107
108. Na tukamwachia (sifa njema) kwa watu walio kuja baadaye. 108
109. Iwe salama kwa Ibrahim! 109
110. Hivi ndivyo tunavyo walipa wanao fanya mema. 10
Huelewi unachokisoma hakuna Mwenyezi Mungu alipotoa sacrifce, hilo ni agizo kwa Ibarahim.Na ambalo Waislaam mpaka leo hii, wanachinja kila Eid Al Ad'ha au Eid Ahaj.Hakuna mambo ya kingereza Allah alitoa fidia , kwa mnyama alichinjwa na kuwa sacrifice , hii sacrifice ilielekezwa kwa nani?
NimeshajibuJibu ujuavyo
Maudhui yakoje?Issue sio scene, issue ni maudhui waliyoiigizia huko kanisan
Nipe maana ya neno sacrificeHuelewi unachokisoma hakuna Mwenyezi Mungu alipotoa sacrifce, hilo ni agizo kwa Ibarahim.Na ambalo Waislaam mpaka leo hii, wanachinja kila Eid Al Ad'ha au Eid Ahaj.
Tunaochinja hao wanyama ni sisi binadam kwa faida yetu sisi, Mwenyezi Mungu haihitaji hiyo nyama. Nyama ya hao wanyama wanaochinjwa huliwa na sisi binadam, inatawanywa karibu na inapochinjwa kwa yeyote na wanapotosheka inagawanywa duniani kote wanapohitaji, mpaka tanzania huwa inaletwa.
Hapo ndipo tulipopata mafundisho ya uchinjaji huo wa wanyama. Hakuna kinyume chake kama unavyojaribu kupotosha wewe.
Sasa fananisha hiyoi na nyie mnaekula nyama ya Yesu na kunywa damu yake. Tena cha kushangaza huo mnaosema mwili wa yesu mnaupika kwa mashonde. Bisha nikupe aya ya biblia.
Tena kwa kukukumbusha tu, Tanzania bei ya kondoo na mbuzi hupanda sana kipindi cha Eid kuliko wakati wowote.
Ma shaa Allah, mafundisho ya Qur'an ni faida juu ya faida juu ya faida. Kumbuka hilo.
Kumbe ulikua hujui, kuna kipande kinaonesha zuchu anapigiwa simu akiwa kanisan akatoka kwenda kupokea simu ya mpnz wake mondi.Maudhui yakoje?