Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Inasikitisha sana...
 
Wew kati ya wote ndo usema ukweli sasa.
Yaani mambo si huku wala kule ni tafrani tupu.
 
Ndiyo maana nimekwambia unataka nijibu utakavyo,kasome Tena jibu langu
Mkuu Hivi are you capable of having a descent conversation as a human being?
Mbona Kila kitu mpaka unataka ukwepe kwepe utumie tricks ili ushinde hoja?
Kwani tuna ugomvi? Unanijua?
Kwani tunashindana?
Mimi nimekuuliza swali rahisi Tu Wala huhitaji kuanza kuogopa au kufikiria Sana ..just be honest.
Swali Ni Je wakristo wakirekodia misikitini mtaruhusu???
Sijauliza mambo ya kanisani Kuna Nini...
 
Nikimjibu,karudie kusoma jibu langu,ukiona hakuna jibu endelea na Mambo mengine,na sipo kwenye ushindani
 
Mwambieni akija kitengeneza nyimbo zingine amweke na KITIMOTO!
 
Swali ingekuwa waislamu wamefanyiwa hivyo,pangekalika?
Au mkuki kwa nguruwe?
Acheni dharau bwana
 
Yes,kuna LA kujifunza
Ila SBB tuna wajinga jinga wapiga pesa hatuwezi kaa kimya,SBB huko tunakoelekea itakuwa balaa zaidi
 
Video ya kikora, pia wimbo(audio) hauna content yoyote ya dini ya kikiristo kwa nini ukashoot kanisani tena walivyo kuwa wanaimba kwa kejeli kwenye hiyo scene ni uchokozi tu kwa wakirsto.
Kumbe[emoji848]
 
Wala ishu sio kushutia kanisan angekuwa mkristo wasingemfungia. ..Na wakristo hawana shida Na anayeshoot kanisan ...
Ishu Ni wakristo wakishutia misikitini inajulikana waislam wataandamana....kwann diamond muislam afanyie hvo kanisani?
Issue ni msudhui pia
Uhamasishe ngono then scene iwe ya kanisani?
 
Swali ingekuwa waislamu wamefanyiwa hivyo,pangekalika?
Au mkuki kwa nguruwe?
Acheni dharau bwana
Ndio maana kuanzia mwanzo nilisema waliotuletea hizi Imani walitukosea sana..., Mimi kama mlaji naona effect ya kuanza censorship kulingana na nani anaonaje au atajisikiaje tukifika huko hakuna kujenga bali ni kubomoa sababu kinachogombaniwa ni pettiness, na kwa imani zilizojengwa kwa misingi ya uvumilivu nadhani ni kupoteza energy za bure kuongelea kama fulani amedharau imani yangu..., Hata akidharau so what ? Anakupunguzia wewe nini ?

Na hata kama wale wanafanya na wewe ndio ufanye ?, na wakati nyie mnafanyiana na watu baki ambao hawapo huko wala huku mnawatendea haki ?

Uzuri watu binafsi wana choice wakiona hii haifai basi wanatafuta / angalia inayowafaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…