Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Sizitaki mbichi hizi
 
Acheni kumuattack Cariha, yeye ameelezea msimamo wake kuwa siyo kweli kwamba kila mwanamke wa bongo anatamani kutoka na Diamond, madai hayo siyo kweli , na ameelezea kwa nini siyo kweli , sasa badala ya kumjibu kwa hoja naona mmeanza kumshambulia yeye binafsi kuwa ana sura ya hivi na vile mara mwembamba , hang’ai n.k

Nani anataka Mwanaume cha wote?!

Sasa nawauliza huo ubaya wake mnaupimaje?

Acheni mfumo dume wa kuwa embarrassing wanawake !

Mtakeni radhi !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…