Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Binafsi huyo Domo hata wanaume waishe wote humu duniani tubaki wawili mi na yeye simtaki

Na simtaki kwa pesa yake na simtaki pia kwa mwonekano wake

Labda over my dead body

Wanaume wanadhani kila mwanamke humu duniani akiona mwanaume ana hela ana shoboka which is totally wrong, wanawake wengine sio washamba wa hela jamani[emoji848]
Sizitaki mbichi hizi
 
Acheni kumuattack Cariha, yeye ameelezea msimamo wake kuwa siyo kweli kwamba kila mwanamke wa bongo anatamani kutoka na Diamond, madai hayo siyo kweli , na ameelezea kwa nini siyo kweli , sasa badala ya kumjibu kwa hoja naona mmeanza kumshambulia yeye binafsi kuwa ana sura ya hivi na vile mara mwembamba , hang’ai n.k

Nani anataka Mwanaume cha wote?!

Sasa nawauliza huo ubaya wake mnaupimaje?

Acheni mfumo dume wa kuwa embarrassing wanawake !

Mtakeni radhi !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom