Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Woman Needs= Money over everything

Hence; Money = Diamond platinum

To get to money = Kuwa na diamond

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Beib umeshindwa kabla hata haujaweka karata ya kwanza.....
Huyo demu anatuona sisi poyoyo hiv Kuna demu gani anaweza kumkataa mo dewji? Demu Kama huyo ndio anakuaga mrahisi Sana SEMA hapa anatuetia.Hawa mademu tunawajua vizuri na tuna experience nao.
 
Ila haupo sawa bi dada..... Aidha unapitia magumu au ulipotoka hakuna amani ndio unatoa sumu muda huu akilini.
Yani hisia zako kichwani zinakutuma napitia magumu ka wewe pole Sana, tangu utoto Hadi sasa sijapitia gumu lolote ka kila ninachokitaka nakipata bila shida Mungu anipe nini, pole wewe unayepitia magumu na shida mbalimbali za maisha
 
Umemaliza kila kitu
 
U sound like Deeva the bouse wa clouds yule.....naona stress level unayorun inasoma frequency sawa na yake.
Keep guessing as the only of giving ur heart peace, Mimi na diva mbingu na ardhi yeye ni mtu wamedia wakati Mimi sijawahi fikiria hyo kazi
 
Watu kama Mo huwa hawakataliwi sababu wanaheshimu wanawake diamond madem anaotokana nao wengi wapo kwenye circle yake ya kufanya umalaya hivyo ni nirahisi kuwapata sikubaliana na watu wanaosema hakuna mwanamke wakumkataa diamond
 
Maneno haya haya aliyasemaga Diva wa clouds fm


Kimsingi mnafanana nae sana mawazo
Huyo alikuwa diva wa clouds naheshimu maoni yake na Mimi wa JF ni mtu wa tofauti kabisa ni mbingu na ardhi
 
Huyo demu anatuona sisi poyoyo hiv Kuna demu gani anaweza kumkataa mo dewji? Demu Kama huyo ndio anakuaga mrahisi Sana SEMA hapa anatuetia.Hawa mademu tunawajua vizuri na tuna experience nao.
Naona umekuwa msemaji wangu na life langu muumilize mobeto baby mama wa wa boss wako unayemlamba makalio, alijipeleka kwa mo akaliwa mtandao pendwa na hakuambulia kitu, mabilionea wa kweli hawaongi pole
 
Kabisa mkuu. Mtu kama Diamond ningemshangaa kukiacha kipite kifaa kama kile.
 

Of course kimazingira Tanzania inakuwa ngumu kukuta Mwanamke anamkataa mtu mwenye pesa na umaarufu kwa pamoja

Lakini kimaandishi umeandika hakuna si kweli, wanawake ambao wanaweza kumkataa mwenye pesa na umaarufu wapo lakini ni wachache kwa case Ya Tanzania
 
Naona umekuwa msemaji wangu na life langu muumilize mobeto baby mama wa wa boss wako unayemlamba makalio, alijipeleka kwa mo akaliwa mtandao pendwa na hakuambulia kitu, mabilionea wa kweli hawaongi pole
Kumbe umekiri mo alimpiga miti Hamisa mobetto mbona umeshajileta kwenye hoja yetu teyali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…