Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Picha wajameni,mnatutenga sisi wazee wa mapichapicha.
huku kijiji cha namtumbo mimi marz atumjui.
kwenye mabucha ya Mondi tunamjua Zuchu,dada mkenya na ile incubator ya sauzi.
Ahaaaha mbona incubator [emoji849][emoji16]
 
Wasalaam wana Jamvi!


Baada ya mwana muziki bora kabisa Tanzania kumsifia mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instagram “ haka katoto nakapendaga basi tuu”.

Baada ya hayo maneno ya on line unaambiwa ni kama Diamond aliagiza vile bidhaa on line hivyo alicho subiri ni kufikishiwa mzigo huo nyumbani ili aulipie....

Baada ya siku mbili ilibidi Aristote ahakikishe Bidhaa hiyo inafika nyumbani salama kabisa!

Diamond hakikisha na huyu binti una mnunulia gari au nyumba sio zawadi ya mtoto tuu....

Hongera sana Mimi Mars!
Nenda kapige compaign
 
Diamond sio hadhi yangu kwa kweli namwona mjingajinga hivi flani pia Mimi staki umaarufu wa uzinifu yeye aendelee na hao kina mobeto ndio hadhi yake kwa kweli how can I date a tandale boy, mimi napenda wanaume timamu kichwani so diamond is not my type
Binafsi huyo Domo hata wanaume waishe wote humu duniani tubaki wawili mi na yeye simtaki

Na simtaki kwa pesa yake na simtaki pia kwa mwonekano wake

Labda over my dead body

Wanaume wanadhani kila mwanamke humu duniani akiona mwanaume ana hela ana shoboka which is totally wrong, wanawake wengine sio washamba wa hela jamani[emoji848]
 
Anarusha kipindi tu huyo, wanawake wote wa mjini wanataka wanaume wenye hela. Kwa privacy huyu anaitwa kwenye private boat ya dollar 1200 tu. Anapangwa Don Fumbwe amlete anafatwa na dereva wa V8 alipo huko na analetwa.

Yani analika vizuri tu asikuchosheni, hamna mwanamke wa kichaga asiyependa pesa au mwanaume mwenye life. Tena anaweza chilwa na asipewe hata sumni akatulia zake just for fame

Hata huyo mimi mars alikataa kuwa hawez gongwa na wasanii ila ndio hao hao wanamchilla
Usitusemelee mkuu sio wote

Narudia tena kwa msisitizo sio wanawake wote tuko hivyo

Mimi ninaongea haya nikiwa na experience + vivid examples, tena kwa wanaume wenye pesa huyo Domo anasubiri mara 1000
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom