Uungwana vitendo.Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe Maulidi kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa uko amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka anamaliza Elimu yake.Dida Shaibu umebahatika kuzaa mtoto mmoja kwenye maisha yake yote.
Hope itafanyika kama alivyoahidi maana ahadi za msibani nazo siku hizi zimekuwa kama ahadi za harusini
Baada ya majonzi wengi hawatekelezi
😂 Kwenye msiba wa mzee wangu 2011, best friend yake wa karibu sana mzee aliniahid kunipa lifti kunirudsha shulen baada ya mazishi kuisha pale . Kilichotokea sasa hd leo hii sijui lifti iliyeyukia wapi maana nilirud peke Yang shule tena kwa daladala nikiwa very heart broken for the death of my father at a very young age of 15 nikiwa kidato cha kwanza aiseee.Hope itafanyika kama alivyoahidi maana ahadi za msibani nazo siku hizi zimekuwa kama ahadi za harusini
Baada ya majonzi wengi hawatekelezi
Inabidi huyo mtoto asome kweli maana wakishaingia chuo hubadilika tabia bata kwa sana maana kama pia ataomba kupata mkopo na akapata kibunda kitakuwa kikupwa ukichanganya na atakachosaidiwaHapo itapigwa hesabu hadi anamaliza chuo kiasi gani kinahitajika
Then itafunguliwa akaunti rasmi na atawekewa hiyo pesa yote.
Baada ya hapo atakuwa anampa mahitaji madogo madogo.
Nadhani hata mtoto wa masigange aliwekewa utaratibu Kama huo .
So kwa hili abarkiwe Sana Diamond na Mungu amuinue zaidi
Hata lift TU ilikuwa ngumu imagine angesema kusomesha😂 Kwenye msiba wa mzee wangu 2011, best friend yake wa karibu sana mzee aliniahid kunipa lifti kunirudsha shulen baada ya mazishi kuisha pale . Kilichotokea sasa hd leo hii sijui lifti iliyeyukia wapi maana nilirud peke Yang shule tena kwa daladala nikiwa very heart broken for the death of my father at a very young age of 15 nikiwa kidato cha kwanza aiseee.
Ila na yule jamaa alikuja kufariki miaka michache mbeleni .
Uwe na akili mtu mzima wewe
Who is this guy??
Nimetafuta lakini nimekikosa kitufe cha kucheka na kusikitika kwa wakati mmoja imebidi niweke vyote viwili kupitia reply😂 Kwenye msiba wa mzee wangu 2011, best friend yake wa karibu sana mzee aliniahid kunipa lifti kunirudsha shulen baada ya mazishi kuisha pale . Kilichotokea sasa hd leo hii sijui lifti iliyeyukia wapi maana nilirud peke Yang shule tena kwa daladala nikiwa very heart broken for the death of my father at a very young age of 15 nikiwa kidato cha kwanza aiseee.
Ila na yule jamaa alikuja kufariki miaka michache mbeleni .
Mkuu una ujinga mno
Washauri wa Diamond wameshuamtonya kua Dogo ni kilaza,na hapendi shule......cheap popularityWakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe Maulidi kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa uko amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka anamaliza Elimu yake.Dida Shaibu amebahatika kuzaa mtoto mmoja kwenye maisha yake yote.
Duuuui ajadi zingine ni kiki ?Kwani ya mtoto wa Masogange na Jux imeishia wapi?
Diamond hadi leo Shishi analalamika ahadi aliyompa ya Shishi Chilli hadi leo hajaitimiza...
Yaani wewe jamaa jina lako linanza na Eng. Lakini akili yako naona ina ududu mwingi.