Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko.

Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka anamaliza Elimu yake. Dida Shaibu amebahatika kuzaa mtoto mmoja kwenye maisha yake yote.
Kwa kipato cha Lukuga aka Mwambino aka Dainamo ilikuwa hakuna haja ya kutangaza swala dogo kama hilo ,By Default ilikuwa lazima atimize jukumu hilo....kuingiza zaidi ya 4B kwa mwaka (Personal income) then kutoa 3m ni Peanut.
 
Naona hili alijakaa poa unawezaje kutangaza unamsaidia mtoto wakati baba yake yupo labda kama aliambiwa na Dida mwenyewe Baba yake hamsaidii mtoto
 
Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko.

Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka anamaliza Elimu yake. Dida Shaibu amebahatika kuzaa mtoto mmoja kwenye maisha yake yote.
Safi sana mkuu Platinumz Mondi
 
Kuna rafiki yangu mmoja baba yake alipofariki miaka mingi iliyopita rafiki mmoja wa baba yake aliamua kubeba jukumu la kusomesha watoto wa marehemu rafiki yake lakini huko mbele ya safari kuna binti mmoja ndiye aliye endelea kusoma hadi elimu ya juu na ni kweli yule mzee aliendelea kumsomesha lakini hatima yake yule mzee alimuoa yule binti(huyo mtoto wa rafiki yake),ni hadithi ya kweli kabisa yametokea.
Nb; Sina maana Nassib naye anaweza akafanya hivyo.
 
Haina shida hapo as long as hawana undugu wa aina yoyote, au?
 
Haina shida kwa IQ ndogo za watanzania, lakini kiukweli tujiulize when did start to groom her? Kuna watu wanalala na watoto wadogo Bongo lakini hakuna mtu anayehoji.
 
Haina shida hapo as long as hawana undugu wa aina yoyote, au?
Hawana udugu wowote lakini uhusiano uliyokuwepo huko nyuma huyo rafiki wa marehemu akienda nyumbani kwa marehemu rafiki yake yule binti alikuwa akimwita baba na mke wa marehemu alikuwa ni shemeji lakini baadaye mambo yanabadilika anakuwa mama mkwe! Inahitaji ukauzu fulani.
 
Back
Top Bottom