Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

Nakumbuka msiba wa Masogange kuna watu waliahidi kumsomesha mtoto wa marehemu,
Sijui ilikuaje huko mbele,

Diamond amefanya jambo jema na la kupongezwa,

Nje ya mada,hivi Baba wa huyo mtoto yupo? sikumuona akizungumza kwenye msiba wala kuzungumziwa.
Mtoto anasema Uwoya anamhudumia
Sijui wengine! Anasema anamletea mpk vitabu
 
Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko.

Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka anamaliza Elimu yake. Dida Shaibu amebahatika kuzaa mtoto mmoja kwenye maisha yake yote.
inamaa mama yake hakua amejipanga miaka yote,tujifunze jamani
 
Mboyoyo nyingi sana huyu Chalii kuna wale Watoto walioshinda ile My Number one dancing mwaka 2014 sijui kama aliwasomesha ? Walikuwa watatu aliwaahidi kuwalipia ada International school ipo pale Mikocheni maeneo ya Clouds FM
Sidhani kama anaweza kusomesha mtoto ambae sio wake international schools kule ada ni kuanzia 18 million kwenda juu
_20241008_135246.JPG
 
Si kweli sio huyo. Anaitwa Juma mchopanga ndugu yake Jay mo. Ni mtu mzima hana cheo serikalini
Anaitwa juma issa chikoka ni mkuu wa wilaya nadhani ni rorya huyu ndio mume wake wa kwanza na nahisi ndio walipata mtoto huyu
 
Back
Top Bottom