Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

Nakumbuka miaka mingi iliopita
Wao; watoto wa nyoka kina spider baba yenu nyoka tumefanya nae kazi kwa muda mrefu yeye amekua sio tena rafiki bali familia dugu moja leo hii ametutoka sisi baba zenu tupo tumebakia lolote likifika msisite kutufikia

Kumbe walikua wanamaanisha kabla ya kuinua TANGA
 
Hope itafanyika kama alivyoahidi maana ahadi za msibani nazo siku hizi zimekuwa kama ahadi za harusini
Baada ya majonzi wengi hawatekelezi
Nakumbuka msiba wa Masogange kuna watu waliahidi kumsomesha mtoto wa marehemu,
Sijui ilikuaje huko mbele,

Diamond amefanya jambo jema na la kupongezwa,

Nje ya mada,hivi Baba wa huyo mtoto yupo? sikumuona akizungumza kwenye msiba wala kuzungumziwa.
 
😂 Kwenye msiba wa mzee wangu 2011, best friend yake wa karibu sana mzee aliniahid kunipa lifti kunirudsha shulen baada ya mazishi kuisha pale . Kilichotokea sasa hd leo hii sijui lifti iliyeyukia wapi maana nilirud peke Yang shule tena kwa daladala nikiwa very heart broken for the death of my father at a very young age of 15 nikiwa kidato cha kwanza aiseee.

Ila na yule jamaa alikuja kufariki miaka michache mbeleni .

So akapewa Lift na Sir God kuelekea peponi.
 
😂 Kwenye msiba wa mzee wangu 2011, best friend yake wa karibu sana mzee aliniahid kunipa lifti kunirudsha shulen baada ya mazishi kuisha pale . Kilichotokea sasa hd leo hii sijui lifti iliyeyukia wapi maana nilirud peke Yang shule tena kwa daladala nikiwa very heart broken for the death of my father at a very young age of 15 nikiwa kidato cha kwanza aiseee.

Ila na yule jamaa alikuja kufariki miaka michache mbeleni .

Aisee- kuongea muda mwingine ni rahisi Sana. Talk is cheap.
 
Nakumbuka msiba wa Masogange kuna watu waliahidi kumsomesha mtoto wa marehemu,
Sijui ilikuaje huko mbele,

Diamond amefanya jambo jema na la kupongezwa,

Nje ya mada,hivi Baba wa huyo mtoto yupo? sikumuona akizungumza kwenye msiba wala kuzungumziwa.
Aisee hata mi sijaona mahali popote akizungumziwa SA sijui kama yupo au Binti ni yatima
 
Kwani ya mtoto wa Masogange na Jux imeishia wapi?

Diamond hadi leo Shishi analalamika ahadi aliyompa ya Shishi Chili hadi leo hajaitimiza...
Kuna watoto mondi aliwah watoa kayumba akawapeleka english medium lakin baada ya mwaka mmoja akawatelekeza huko bila kuwalipia ada
 
😂 Kwenye msiba wa mzee wangu 2011, best friend yake wa karibu sana mzee aliniahid kunipa lifti kunirudsha shulen baada ya mazishi kuisha pale . Kilichotokea sasa hd leo hii sijui lifti iliyeyukia wapi maana nilirud peke Yang shule tena kwa daladala nikiwa very heart broken for the death of my father at a very young age of 15 nikiwa kidato cha kwanza aiseee.

Ila na yule jamaa alikuja kufariki miaka michache mbeleni .
hahaaa nimecheka balaaaa. dah pole ndugu
 
Back
Top Bottom