Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Irene uwoya ndo mlezi wa mtoto yuleHapo itapigwa hesabu hadi anamaliza chuo kiasi gani kinahitajika
Then itafunguliwa akaunti rasmi na atawekewa hiyo pesa yote.
Baada ya hapo atakuwa anampa mahitaji madogo madogo.
Nadhani hata mtoto wa masigange aliwekewa utaratibu Kama huo.
So kwa hili abarkiwe Sana Diamond na Mungu amuinue zaidi
Kwenye ubarikio wangu,kitambo hicho,nilipatiwa cheni ya dhahabu gram za kutosha. Nilijisikia faraja sana. Baada ya sherehe kuisha, mwenyewe akaja kuchukua cheni yake
Aisee😂 Kwenye msiba wa mzee wangu 2011, best friend yake wa karibu sana mzee aliniahid kunipa lifti kunirudsha shulen baada ya mazishi kuisha pale . Kilichotokea sasa hd leo hii sijui lifti iliyeyukia wapi maana nilirud peke Yang shule tena kwa daladala nikiwa very heart broken for the death of my father at a very young age of 15 nikiwa kidato cha kwanza aiseee.
Ila na yule jamaa alikuja kufariki miaka michache mbeleni .
Ficha ujinga wako.Mwisho wa siku yasijegeuka ya kanumba na lulu. Chai jaba haaminiki
Kwani ni uongo .. chai jaba ndio zake.Ficha ujinga wako.
Dua zetu kwa kijana Nasibu kwa kujitoleaWakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko.
Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka anamaliza Elimu yake. Dida Shaibu amebahatika kuzaa mtoto mmoja kwenye maisha yake yote.
Ni jambo jema na la kiungwana 💪 ikiwezekana na amkatie pia bima ya afya katika kipindi hicho. cha kumpatia elimu yakeWakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko.
Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka anamaliza Elimu yake. Dida Shaibu amebahatika kuzaa mtoto mmoja kwenye maisha yake yote.
Haaminiki huyu Mondi ana misifa wale wadogo walishinda ile ngololo ngololo ya wimbo wake My Nimber one. Shule aliyoitangaza kuwapeleka ni East Africa International School ipo pale MikocheniKuna watoto mondi aliwah watoa kayumba akawapeleka english medium lakin baada ya mwaka mmoja akawatelekeza huko bila kuwalipia ada
Mbona alirudia kusisitiza kuwa sio diamond bali kampuni ya wasafi media na hili alirudia kulisisitiza. aliyesema ni mkurugenzi wa wasafi media ila alisema kampuni ndio itamsomesha.Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko.
Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka anamaliza Elimu yake. Dida Shaibu amebahatika kuzaa mtoto mmoja kwenye maisha yake yote.
Amekuambia anataka kufika Chuo?Inabidi huyo mtoto asome kweli maana wakishaingia chuo hubadilika tabia bata kwa sana maana kama pia ataomba kupata mkopo na akapata kibunda kitakuwa kikupwa ukichanganya na atakachosaidiwa
Haaminiki huyu Mondi ana misifa wale wadogo walishinda ile ngololo ngololo ya wimbo wake My Nimber one. Shule aliyoitangaza kuwapeleka ni East Africa International School ipo pale Mikocheni
Kwahiyo ,aliamua brother aende kulalia ebishweko na ka wife kake dah 😀😀Nakumbuka mwaka 2010 katika harusi (Ndoa ) ya Mjomba wangu.
Alipewa godoro Kama zawadi na mama mdogo Ila Baada ya harusi mama mdogo alichukua godoro lake.
Hili godoro alipewa mchango (zawadi) kutoka kwa wanachama wenzake hili aje amtunze ndugu yake katika harusi.
So kilichotokea ndo hicho , mama mdogo alichukua godoro lake alilotunza.
Japo wakati analitoa ilileta hamasa ,amsha amsha n.k tena kijijini.
By that my uncle alikuwa yupo chuo so alichukulia Kama zawadi nzuri.
Nilichojifunza kutoa kitu unachokipenda sio Kazi nyepesi watu wachache ndo wamebarikiwa huo uwezo.