Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

We hustle kivyako usijifananishe na wengine, safari ya kutafuta utajiri wengine wanajitoa muhanga and forsake every damn thing just to show people they got the latest toys and gadgets.
 
Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.

Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Aliyeokoka ana Kila kitu.

Unaonaje ukiupata Ulimwengu wote na fahari zake na ukaishia kutupiwa JEHANUM?

Maskini au tajiri, kutokuwa na YESU maishani ni HASARA kubwa sana.

Amen
 
Aliyeokoka ana Kila kitu.

Unaonaje ukiupata Ulimwengu wote na fahari zake na ukaishia kutupiwa JEHANUM?

Maskini au tajiri, kutokuwa na YESU maishani ni HASARA kubwa sana.

Amen
Bora uishi kwa raha duniani ufe uende motoni.
Kuliko kuishi masikini kufa kwenda motoni kwa uzinzi usengenyaji, dhuluma nk

Amina
 
Una uhakika ni Mungu ndiye kampa? Una uhakika? Kwa herufi kubwa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…