Diamond anakosea sana...

Pesa inawatoa watu ufahamu, pamoja na mapungufu yote ya mzee Abdul bado anastahili stahiki zote kama baba
Sijui kuna siri gani mpk mondi amempa mgongo mzee wa watu
 
Hizi njaa mbaya sana, watu kama hawakutaki we endelea tu kuuza mabamia kama zamani, huyu Mzee Abdul tunamfuta uanachama rasmi kwenye chama chetu cha mabaharia
 
I feel very sorry for him (diamond) he will reap what he has soured
 
Binafsi mimi pia najiuliuza, ina maana Mzee Abdul kakaa na huyo mama tangu Diamond mtoto mdogo mpaka amekuja kuachana naye Diamond yuko Form one hawakuwahi kuzaa kabisa ??
Mbona haujiulizi kuhusu Nyange? Mama wa Nyange amesema yeye na mume wake hawakuwahi kupata mtoto mwingine zaidi ya Nyange.
 
Msihukumu tu. Hamjui nini maana ya kuwa katika hali hiyo. Pia si kwamba kaongea yote. Diamond hana tatizo lolote. Nimemsikiliza kaongea vyema tu, labda kama una lingine binafsi
 
Kwanini Moderator hawaku edit hii thread!?
 
Mkuu umeandika mambo makubwa Sana
Na yenye mantiki
Tatizo wahusika wakuu akili zao ni matope
 
Msihukumu tu. Hamjui nini maana ya kuwa katika hali hiyo. Pia si kwamba kaongea yote. Diamond hana tatizo lolote. Nimemsikiliza kaongea vyema tu, labda kama una lingine binafsi
Embu eleza maana ya kuwa katika Hali hiyo, ili watu wasiendelee kuhukumu
 
cha msingi kuanzia jana Diamond ni Mpare kutoka ukoo wa Nyange na kwasasa matambiko atafanyia Miamba-Miamba huko Same Upareni.
Ngoja watu wa kigoma tukamtengeneze hawezi kutudhalilisha kwa fadhila zetu...hatujui vizuri huyu
 
One of the best thread 2021. Nakuunga mkono 100%
 
Nafikiri kuna sababu kubwa imejificha nyuma ya yote haya... Hizi mali hizi ukute ni masharti ya mganga.
Kuna ustaadh mmoja alikuwa ananipigia Dua msikiti wa ngamia kule mburahati nikawa napata pesa sana kiukweli hadi nikajenga nyumba mbili ndani ya mwaka mmoja Ila mwanangu na mke wangu wakuwa wamedhoofika sana kiafya kuna kugundua kumbe mali na pesa nazozipata zinaumiza familia yangu nikaamrudia mungu.
Badae nikaambiwa yule ndio mganga mkuu wa diamond.[emoji849][emoji849][emoji849]nilijuta sana aisee hizi mali daaah.
 
Msihukumu tu. Hamjui nini maana ya kuwa katika hali hiyo. Pia si kwamba kaongea yote. Diamond hana tatizo lolote. Nimemsikiliza kaongea vyema tu, labda kama una lingine binafsi
Kuna sehemu kasema alikuwa anaona aibu kuwa baba yake halisi muuza mchele ila alikuwa anampenda mzee Abdul sababu alikuwa myamwezi na ana magari, mwisho wa kumnukuu. Sasa mtu wa namna hiyo unamchukuliaje?
 
Usipende kulaumu mtu bila kujua sbb ni nn, yeye alisema mzee alimweka mbali inatosha au ulitaka aseme alitengwa na mzee.

Hili ni funzo kwa mama na baba wa kambo huwa wanapenda kunyanyasa sana watoto wakisha jua sio wao, koo binafsi namuunga mkono mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…