Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I feel very sorry for him (diamond) he will reap what he has souredNimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul..
Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo
Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu..
Diamond alipaswa sasa kumlaumu na kumchukia huyo Baba yake alietajiwa Kwa kutokuwepo wakati wa maisha yake..
Badala yake Diamond naona anajipendekeza Kwa huyo biological father hadi kujiweka karibu mno na huyo mdogo wake wakati maisha yake yote
Amekuwa anamlaumu Mzee Abdul Kwa kuwatelekeza....
Sasa kama unaesema alikutelekeza unagundua sio Baba yako si ndo unapaswa kushukuru hata Kwa madogo aliyoweza kukupa?Kuku sitiri usijione huna baba?Kukupa jina lake? Kumsitiri mama yako?..
Why Mzee Abdul awe kama 'adui'wakati
Alichofanya ni kwend na flow Tu kadri mama yake Diamond alivyotaka?..
Mtoto wa kiume akifika umri wa miaka 25 unatakiwa uwe kiongozi wa mama yako
Hasa kama Mama mwenyewe ana changamoto za malezi..tabia na elimu kama alivyo Mama yake Diamond....
Haya wanayonfanyia Mzee Abdul ni kumuonea mtu anaehitaji msaada Kwa makosa ambayo sio yake..
Kusaidia Hadi strangers huku mtu aliewahi kukupa matunzo hata kama ni ya siku moja anataabika ni kumjaribu Mungu..karma itawaadhibu..
I like itwatajua wenyewe na maisha yao
Mbona haujiulizi kuhusu Nyange? Mama wa Nyange amesema yeye na mume wake hawakuwahi kupata mtoto mwingine zaidi ya Nyange.Binafsi mimi pia najiuliuza, ina maana Mzee Abdul kakaa na huyo mama tangu Diamond mtoto mdogo mpaka amekuja kuachana naye Diamond yuko Form one hawakuwahi kuzaa kabisa ??
Msihukumu tu. Hamjui nini maana ya kuwa katika hali hiyo. Pia si kwamba kaongea yote. Diamond hana tatizo lolote. Nimemsikiliza kaongea vyema tu, labda kama una lingine binafsiNimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul..
Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo
Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu..
Diamond alipaswa sasa kumlaumu na kumchukia huyo Baba yake alietajiwa Kwa kutokuwepo wakati wa maisha yake..
Badala yake Diamond naona anajipendekeza Kwa huyo biological father hadi kujiweka karibu mno na huyo mdogo wake wakati maisha yake yote
Amekuwa anamlaumu Mzee Abdul Kwa kuwatelekeza....
Sasa kama unaesema alikutelekeza unagundua sio Baba yako si ndo unapaswa kushukuru hata Kwa madogo aliyoweza kukupa?Kuku sitiri usijione huna baba?Kukupa jina lake? Kumsitiri mama yako?..
Why Mzee Abdul awe kama 'adui'wakati
Alichofanya ni kwend na flow Tu kadri mama yake Diamond alivyotaka?..
Mtoto wa kiume akifika umri wa miaka 25 unatakiwa uwe kiongozi wa mama yako
Hasa kama Mama mwenyewe ana changamoto za malezi..tabia na elimu kama alivyo Mama yake Diamond....
Haya wanayonfanyia Mzee Abdul ni kumuonea mtu anaehitaji msaada Kwa makosa ambayo sio yake..
Kusaidia Hadi strangers huku mtu aliewahi kukupa matunzo hata kama ni ya siku moja anataabika ni kumjaribu Mungu..karma itawaadhibu..
Kwanini Moderator hawaku edit hii thread!?Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul..
Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo
Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu..
Diamond alipaswa sasa kumlaumu na kumchukia huyo Baba yake alietajiwa Kwa kutokuwepo wakati wa maisha yake..
Badala yake Diamond naona anajipendekeza Kwa huyo biological father hadi kujiweka karibu mno na huyo mdogo wake wakati maisha yake yote
Amekuwa anamlaumu Mzee Abdul Kwa kuwatelekeza....
Sasa kama unaesema alikutelekeza unagundua sio Baba yako si ndo unapaswa kushukuru hata Kwa madogo aliyoweza kukupa?Kuku sitiri usijione huna baba?Kukupa jina lake? Kumsitiri mama yako?..
Why Mzee Abdul awe kama 'adui'wakati
Alichofanya ni kwend na flow Tu kadri mama yake Diamond alivyotaka?..
Mtoto wa kiume akifika umri wa miaka 25 unatakiwa uwe kiongozi wa mama yako
Hasa kama Mama mwenyewe ana changamoto za malezi..tabia na elimu kama alivyo Mama yake Diamond....
Haya wanayonfanyia Mzee Abdul ni kumuonea mtu anaehitaji msaada Kwa makosa ambayo sio yake..
Kusaidia Hadi strangers huku mtu aliewahi kukupa matunzo hata kama ni ya siku moja anataabika ni kumjaribu Mungu..karma itawaadhibu..
Embu eleza maana ya kuwa katika Hali hiyo, ili watu wasiendelee kuhukumuMsihukumu tu. Hamjui nini maana ya kuwa katika hali hiyo. Pia si kwamba kaongea yote. Diamond hana tatizo lolote. Nimemsikiliza kaongea vyema tu, labda kama una lingine binafsi
Ngoja watu wa kigoma tukamtengeneze hawezi kutudhalilisha kwa fadhila zetu...hatujui vizuri huyucha msingi kuanzia jana Diamond ni Mpare kutoka ukoo wa Nyange na kwasasa matambiko atafanyia Miamba-Miamba huko Same Upareni.
One of the best thread 2021. Nakuunga mkono 100%Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul..
Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo
Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu..
Diamond alipaswa sasa kumlaumu na kumchukia huyo Baba yake alietajiwa Kwa kutokuwepo wakati wa maisha yake..
Badala yake Diamond naona anajipendekeza Kwa huyo biological father hadi kujiweka karibu mno na huyo mdogo wake wakati maisha yake yote
Amekuwa anamlaumu Mzee Abdul Kwa kuwatelekeza....
Sasa kama unaesema alikutelekeza unagundua sio Baba yako si ndo unapaswa kushukuru hata Kwa madogo aliyoweza kukupa?Kuku sitiri usijione huna baba?Kukupa jina lake? Kumsitiri mama yako?..
Why Mzee Abdul awe kama 'adui'wakati
Alichofanya ni kwend na flow Tu kadri mama yake Diamond alivyotaka?..
Mtoto wa kiume akifika umri wa miaka 25 unatakiwa uwe kiongozi wa mama yako
Hasa kama Mama mwenyewe ana changamoto za malezi..tabia na elimu kama alivyo Mama yake Diamond....
Haya wanayonfanyia Mzee Abdul ni kumuonea mtu anaehitaji msaada Kwa makosa ambayo sio yake..
Kusaidia Hadi strangers huku mtu aliewahi kukupa matunzo hata kama ni ya siku moja anataabika ni kumjaribu Mungu..karma itawaadhibu..
Team domo bana akili zako kama za babalevo ..ao naww uko tayari kuza Na diamondKuzaa si kupata,kulea Ni wajibu....yule mzee anakelele sana hata mie ningemkana tu ili yaishe.
Ndio kapatikana kwa mpasuko wa kondomu in mzee Abdul voiceDiamond ni mwanaharamu kumbe
Kuna ustaadh mmoja alikuwa ananipigia Dua msikiti wa ngamia kule mburahati nikawa napata pesa sana kiukweli hadi nikajenga nyumba mbili ndani ya mwaka mmoja Ila mwanangu na mke wangu wakuwa wamedhoofika sana kiafya kuna kugundua kumbe mali na pesa nazozipata zinaumiza familia yangu nikaamrudia mungu.Nafikiri kuna sababu kubwa imejificha nyuma ya yote haya... Hizi mali hizi ukute ni masharti ya mganga.
Kuna sehemu kasema alikuwa anaona aibu kuwa baba yake halisi muuza mchele ila alikuwa anampenda mzee Abdul sababu alikuwa myamwezi na ana magari, mwisho wa kumnukuu. Sasa mtu wa namna hiyo unamchukuliaje?Msihukumu tu. Hamjui nini maana ya kuwa katika hali hiyo. Pia si kwamba kaongea yote. Diamond hana tatizo lolote. Nimemsikiliza kaongea vyema tu, labda kama una lingine binafsi