Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Umenifurahisha sana na haka kausemi, huu usemi wanaelewa wachache sana[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hio ofisi kubwa hivyo alikiba anafanya nini nayo?
Diamond ana utitiri wa wasanii.
Kina mose ray van etc
Acha unafiki usilete ligi
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
ameificha mfukoni au chumban kwake
 
Millard ayo kaipa #1 kwenye story 10 za Amplifier ya Cloudsfm. Sikiliza sasa hv 20:49, Thursday, 11.Jan. 2018.

Ile nyumba SIO YA KUPANGA. Dalali Mwanamke (Scober) ameongea na Millard ayo amesema ameinunua kwa Billion 1 Cash.
Huyo scober ni muongo muongo na mpenda sifa angekua amemuuzia nyumba 29 basi nae scober angekua na maendeleo sio kumiliki duet gari ya 5m kma bajaji..aache kumsifu chibu kwa sifa za uongo.
Chibu angekua amenunua hiyo nyumba angehama madale kwenye mafuriko ..mkuu pesa huwa haijifichi
 
Nyumba wamepanga hiyo,wachafu kwa kupenda sifa bhana ....
 
Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Ela ipo acha afanye makubwa, kijana ni mfano hata kwa waliomtangulia
 
Team kiba mnanifuhashaga sana yaan mpo kwa ajili ya kuonyesha kwamba kiba yuko juu.
Hapo hatuzungumziii nani ana nn ila tu wao km Wcb ndo wameshare nasi yeye kama hakutaka ni maamuzi yake
Hawana jipya awa jamaa
 
Dalali aongea.. naona watu wanaharibia wengine kazi zao.. bora ajieleze tena.
 
Huo mjengo sio mchezo hawana hela ya kununua ila hata kupanga nayo ni maendeleo pia
Bil 1 sio helaa kwa diamond tokana na show anazofanya kwamba ashindwe kununua ile nyumbaa..!! Biashara anazofanya... matangazo ya makampuni mbalimbali... Acheni chuki za kijingaa yani unakuta mtu huna hata Baiskeli umesimamiaa kuchaa kabisaa kumponda diamond... Wabongo wapuuzi sana yani wivuu wakijinga jingaa... Alipofikaa Diamond sijui msanii gani Bongo atakuja kufika hata nusu yakee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…