Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,488
- 3,338
Umenifurahisha sana na haka kausemi, huu usemi wanaelewa wachache sana[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.