ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
mwandiko wako unatosheleza kuonyesha kuwa hujitambui.ACHA ROHO MBAYA UTAKUFA
WIVU UMEKUJAA WW MDADA KWANN LKN
NDIO IVO MWENZAKO ANACHANA MBUGA NENDA NAWW KAWAAMBIE AO MA DJ CJUI WAKAKUANDALIE NA WAWTU AIRPORT WAKUPOKEE NAWW
Roho imekuuma unabwabwaja tu teh nn shida kwani,hebu kunywa maji kwanzaTaarifa ya kishabiki,Fanya tafiti usikurupuke.Nipo huku waandaji wa show walipewa sharti la kwanza ni kukusnnya watu airport.Na salaam na quiz ndio walikuwa organizer wa hiyo kitu.
Msiwe mnaingia mkenge kijinga,Ukiona jambo ongeza na zako.
Hata la lissu tusingeongeza zetu ungekuta tunasubiri ripot ya polisi au bunge november.Ila tumestuka na sasa habari ya taifa ni Tundu lissu
Hahah rais wa bodaboda labdawacha uongo ile video ameongeza hata za watu wakiwa nawampokea sijui Pemba sijui wapi? raisi gani anapokelewa na trafik mmoja.
hivi wale watz waliokurupushwa huko kwa maelfu wakaletwa huku mtwara na malori ya jeshi wamerudi tena huko?Mimi niko msumbiji hapa nilikuwepo wakati anapokelewa.Kiufupi watu walijiyokwza kwa wingi sana sana but walio wengi ni raia ta tz wanaojishughulisha huku kwa biashara ndogo ndogo na uchimbji madini.Lakini kiukweli dai anaheshika sana huku hasa ni baada ya kushirikiana na wasanii baadhi wa zambia na mawawi i think so nyimbo zake zinapendwa pia huju
Ahahhaaaa,SIMBA BIN LADEN ANA NYOTA ISIYOCHUJA KABISAAAA,WATU WAKIAMUA KUMSHUSHA WASISAHAU NA KUJA KUNG'OA MEMORY ZILIZO NSTALL MOND VICHWANI,MAAANA KUMSHUSHA iSHASINDIKANAHuyo nae liende huko
Ngoja anyooshwe na Mganda ndio ajue.
Pemba kama chake chake mkuu?Pemba hapo, wanapenda bongo fleva sana. Nilifika 2006 nikala good time za kuua mtu.
unakusanyaje mashabiki kama huna ishu?Taarifa ya kishabiki,Fanya tafiti usikurupuke.Nipo huku waandaji wa show walipewa sharti la kwanza ni kukusnnya watu airport.Na salaam na quiz ndio walikuwa organizer wa hiyo kitu.
Msiwe mnaingia mkenge kijinga,Ukiona jambo ongeza na zako.
Hata la lissu tusingeongeza zetu ungekuta tunasubiri ripot ya polisi au bunge november.Ila tumestuka na sasa habari ya taifa ni Tundu lissu
Wanabodi.
Hayo mapokezi ya Diamond ni makubwa sana amepewa heshima kubwa mno hakuna msanii tanzania aliewahi kupokelewa vile ngoja tusubiri na rekodi atayovunja ya kufanya show indigo london ambapo hakuna msanii wa bongo aliewahi kufanya show ya peke yake indigo.
tena traffic kibonge kha!wacha uongo ile video ameongeza hata za watu wakiwa nawampokea sijui Pemba sijui wapi? raisi gani anapokelewa na trafik mmoja.
Mwambie babaako akusaidie kukusanya watu 15 tu wa kukupokea Ubungo Stand akiwemo na demu wako kama mtawezaTaarifa ya kishabiki,Fanya tafiti usikurupuke.Nipo huku waandaji wa show walipewa sharti la kwanza ni kukusnnya watu airport.Na salaam na quiz ndio walikuwa organizer wa hiyo kitu.
Msiwe mnaingia mkenge kijinga,Ukiona jambo ongeza na zako.
Hata la lissu tusingeongeza zetu ungekuta tunasubiri ripot ya polisi au bunge november.Ila tumestuka na sasa habari ya taifa ni Tundu lissu
Kamwambie mamako akuwekee
Walimuandalia na Gwaride eenh...Wanabodi.
Hayo mapokezi ya Diamond ni makubwa sana amepewa heshima kubwa mno hakuna msanii tanzania aliewahi kupokelewa vile ngoja tusubiri na rekodi atayovunja ya kufanya show indigo london ambapo hakuna msanii wa bongo aliewahi kufanya show ya peke yake indigo.
Ingia Inst millardayo kapost video, diamond katisha sana aiseTaarifa ya kishabiki,Fanya tafiti usikurupuke.Nipo huku waandaji wa show walipewa sharti la kwanza ni kukusnnya watu airport.Na salaam na quiz ndio walikuwa organizer wa hiyo kitu.
Msiwe mnaingia mkenge kijinga,Ukiona jambo ongeza na zako.
Hata la lissu tusingeongeza zetu ungekuta tunasubiri ripot ya polisi au bunge november.Ila tumestuka na sasa habari ya taifa ni Tundu lissu