Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Kumbuka daimond ni serekari

Hayo yanayoendelea ni kuficha aibu but ujumbe umeshafika
 
Wote hao ni ccm sie ni kutazama mwisho ake utakua vipi
 
Ndio watu wanajifanya wana akili ya Kazii, kubadilii akili za watu.
 
Tumsubiri TCRA naye,sijui ataifungia WasafiTv na Redio ,pamoja kupanic kwa Diamond (jamaa anapoint ila tatizo uwasilishaji wake ,lkn yupo sahii 100%) lkn wajitafakari kwanza BASATA ,TCRA na WIZARA .Hii tasnia ya burudani inaenda kimungumungu (wasanii walivyo kama wale mbuzi wakafara) na maamuzi yao yanawaumiza wasanii baada ya kuwasaidia.
 
Kugombana na diamond ni sawa na kugombana na makonda.

Matokeo ya kugombana na makonda kila mtu anayajua.

Usiseme sikukwambia.

Daddy is coming.
 
Tatizo la Tanzania ni watanzania wenyewe, sawa mkuu serikali ni kubwa je bila sisi wananchi serikali itakuwepo?. Tatizo serikali ya awamu hii kila mtu anatafuta jinsi ya kuendana na kasi ya mh
 
Hii kauli yako ni ya kinafiki. Maana unataka kusound kama vile you care about him, au unamuonea huruma hapo hapo!
 
Usiwapotoshe wenzio.
 
Usiwapotoshe wenzio.
Kwa hiyo unaamini bongo fleva bila clouds haiwezekani na msanii hawiki,kumbuka kabla ya clouds kulikuwa na RTD,Radio One,Radio Free na sasa Clouds ,ndio ujue kila lenye mwanzo halikosi mwisho.Tatizo wasanii waoga wanalalamika wakiwa tayari washaibiwa hawajui wao ndio wanaibeba clouds kwani wakiamua kuigiomea clouds ,unafikiri tamasha lao litafanyika na hiyo redio si itakosa nyimbo ya kupiga.Ukae ukijue HAKUNA MTU ALIYEUMBWA KUWA NO 1 na MWENYE HATI MILIKI WA HUU MZIKI.
 
Watajuana Kivyao Bhana

Kipindi Cha Kampen Si Ndio Huwa Wanamtumia Uyo Kijana.....!!

Nimekumbuka Kauli Ya Mr President 2020 Tundu Lissu

Hawa Watu Wakimaliza Kwetu Watahamia Na Kwenu

Over
Lissu atabaki kuwa nabii wa nchi hii daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…