Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Sis wenye Paramount Network tv. Tuangalie chanel number gani?
 
Mbona imekata tens au king' amuzi changu kibovu
 
Wasafi Tv wameanza vizuri upande waTv , nimewafatilia tangu asubuhi Leo hakika burudani waliyokuwa wanaipiga siyoooo haba.
Ila sijaona mtangazaji yeyote tangu nimeanza kuitazama mpaka sasa.

Upande wa Pili tupasubiri wataanzaje upande wa Wasafi FM .

Wasafi TV- Tumeliwasha.
 
Na kama kuna wengi kwa nyuma wasioonekana huyu aliye mbele anayetajwa peke yake sio sahihi. Wasimuone Mond pekee wawaone na wa nyuma wasiojitangaza
Ktk hao share holders Diomond ndio bland ( mtaji MKUBWA) KWA hiyo BIASHARA kwani itapata soko kubwa Kwa sababu ya mtaji MKUBWA wa soko . So hao wenye pesa hawazi wekeza sehemu ambayo hailipi, Na Pia pamoja Na pesa waliyonayo wanaweza kuanzisha hiyo BIASHARA ILA watatumia pesa sana kuitangaza Na inaweza kufanikiwa au la. Kupitia huitaji Na umuhimu wa kila MTU umiliki sasa wa hiyo investment una kuwa KWA percentage hivyo diamond ni mmiliki pia Na lazima abebe yeye pekeyake Na bland yake ya WASAFI sababu ndio mtaji MKUBWA KWA hiyo BIASHARA WATEJA tayari tupo . Ushauri tumpongeze Diamond kwa atua aliyofikia tusimbeze Na tupambane kama alivyo pambana yaani Diamond awe ni mfano kwetu.
 
Haindoi UMILIKI WA KUSAGA KWA WASAFI HATA DIMONDI AKIWEKWA FRONT.
 
Ndivyo ilivyo wapo ktk majaribio kuona picha na sauti
 
Hii tabia ya kuweka picha za miguu yenu mnatuharibia mood za kucomment kwa busara. Mwingine kassimneema.
Mkuu imebidi nimtafute huyo mtu daah nimeona picha yake hatari sana halafu cha ajabu hivi viumbe havina huruma kabisa hawajui tumetoka kwenye Kwaresma takatifu!!
 
Naona hii habari nafika home tanesco wamekata umeme sasa sijui kimara tu huku bonyokwa ama DSM yote, ila navizia ukirudi tu Nazama kuwasha TV.
 
Una huyu nae, kuna sehemu nimesema huko Kusaga sio share holder??? Umeacha akili zako bafuni wakati unaoga?
UMEONGELEA UFRONT TU WA DIMONDI LAKINI UBACK WA KUSAGA HAUJAUGUSA KABISA NDIO MAANA NIKAKUKUMBUSHA HILO....HAUJAMTAJA KABISA KUSAGA.
 
Wale akina da mange kasema hapo utawasikia Redio ya Kusaga,basi tupe ushahidi kama kweli Redio ya Kusaga (Reference yake Da mange ).Huyu da mange kawageuza watu misukule.
 
UMEONGELEA UFRONT TU WA DIMONDI LAKINI UBACK WA KUSAGA HAUJAUGUSA KABISA NDIO MAANA NIKAKUKUMBUSHA HILO....HAUJAMTAJA KABISA KUSAGA.
Mzee umevamia mada alafu hujui mada ilikua inahusu nn? sio kila sehemu unatia pua, rudi tuliko anzia sio unakuja kurukia jambo katikat bila uelewa n nn kinajadiliwa
 
Naona hii habari nafika home tanesco wamekata umeme sasa sijui kimara tu huku bonyokwa ama DSM yote, ila navizia ukirudi tu Nazama kuwasha TV.
Labda kwenu tuu huko. Huku tabta upo. Polen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…