Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteMuulize mtoa uzi
ShukuraniNenda menu halafu system serching bonyeza istallation itaserch ikimaliza itakuwa imeingia chanel no 122
Ktk hao share holders Diomond ndio bland ( mtaji MKUBWA) KWA hiyo BIASHARA kwani itapata soko kubwa Kwa sababu ya mtaji MKUBWA wa soko . So hao wenye pesa hawazi wekeza sehemu ambayo hailipi, Na Pia pamoja Na pesa waliyonayo wanaweza kuanzisha hiyo BIASHARA ILA watatumia pesa sana kuitangaza Na inaweza kufanikiwa au la. Kupitia huitaji Na umuhimu wa kila MTU umiliki sasa wa hiyo investment una kuwa KWA percentage hivyo diamond ni mmiliki pia Na lazima abebe yeye pekeyake Na bland yake ya WASAFI sababu ndio mtaji MKUBWA KWA hiyo BIASHARA WATEJA tayari tupo . Ushauri tumpongeze Diamond kwa atua aliyofikia tusimbeze Na tupambane kama alivyo pambana yaani Diamond awe ni mfano kwetu.Na kama kuna wengi kwa nyuma wasioonekana huyu aliye mbele anayetajwa peke yake sio sahihi. Wasimuone Mond pekee wawaone na wa nyuma wasiojitangaza
Haindoi UMILIKI WA KUSAGA KWA WASAFI HATA DIMONDI AKIWEKWA FRONT.Kwan Clouds unadhan Joseph anamilik peke yake?? Kuna kina KUSAGA 5 wako pale wote na share
Anae onekana mbele siku zote FOUNDER, ambae anakua ni sura ya kampun
Mfano Jack Ma wa Alibaba, sina kumbukumbu vizuri ila umilik wake ndani ya kampuni ni chini ya 30%, mshindan wake huko kwao Tancent ( Pony Ma=mmilik) nae hvyo hvyo
UBER unaijua, kaangalie mwanzilishi n nani na aliekaa pale juu saiv n nani,
Wenzetu hua mambo yao yanapiga hatua kwakua na STRONG INSTITUTIONS , unakuja na wazo, likimake sense kwa watu (wawekezaji/Investors) wanatia pesa wanamilik hisa ndani ya kampun, wewe mwanzilish unabak kama Face of the company, na utatambulika kama founder, ila humo ndan kuna mtu anaweza kua na share nying kuliko wewe hata voting power vile vile
Nenda kasome samsun ilivyo
Steve Jobs anasifika kama mwanzilishi wa Apple, je wajua kuna wakati alifukuzwa kabisa kwenye board?? ikambidi akaanzishe kitu kingine ambacho baadae kilikuja mrudisha kwenye board of directors ??
Wenzetu wanafanya hvyo, leo mkurugenzi/mwanzilish/mmilik akafa, company hua zinabak zinaendeleza operations
Sasa hili sie kinamadange tunapata nafasi ya kulijua, badala tupate cha kujifunza tunaona NONGWA, sijui wivu, tukabatizwe kwa maji mangi walai
Skia fanya installation ya channels then cheki 122 utaikuta.....usiwe mwepes wa kukata tamaa uliza uelekezweAma kweli nimeamini nisiku ya wajinga duniani,nimesachi lakini hakuna kitu
huwa naitazama sana sema tu mimi nakiba100 hatupendagi misifaKiba ana TV yake sema tu hapendi show off. Mxiiiiiiiu!!!
Utabaki hivyo hivyo wakat mwenzako anasonga....channel ipo kweli na wala sio mambo ya foolish dayFoolish day
Ndivyo ilivyo wapo ktk majaribio kuona picha na sautiWasafi Tv wameanza vizuri upande waTv , nimewafatilia tangu asubuhi Leo hakika burudani waliyokuwa wanaipiga siyoooo haba.
Ila sijaona mtangazaji yeyote tangu nimeanza kuitazama mpaka sasa.
Upande wa Pili tupasubiri wataanzaje upande wa Wasafi FM .
Wasafi TV- Tumeliwasha.
Mkuu imebidi nimtafute huyo mtu daah nimeona picha yake hatari sana halafu cha ajabu hivi viumbe havina huruma kabisa hawajui tumetoka kwenye Kwaresma takatifu!!Hii tabia ya kuweka picha za miguu yenu mnatuharibia mood za kucomment kwa busara. Mwingine kassimneema.
Una huyu nae, kuna sehemu nimesema huko Kusaga sio share holder??? Umeacha akili zako bafuni wakati unaoga?Haindoi UMILIKI WA KUSAGA KWA WASAFI HATA DIMONDI AKIWEKWA FRONT.
UMEONGELEA UFRONT TU WA DIMONDI LAKINI UBACK WA KUSAGA HAUJAUGUSA KABISA NDIO MAANA NIKAKUKUMBUSHA HILO....HAUJAMTAJA KABISA KUSAGA.Una huyu nae, kuna sehemu nimesema huko Kusaga sio share holder??? Umeacha akili zako bafuni wakati unaoga?
Mzee umevamia mada alafu hujui mada ilikua inahusu nn? sio kila sehemu unatia pua, rudi tuliko anzia sio unakuja kurukia jambo katikat bila uelewa n nn kinajadiliwaUMEONGELEA UFRONT TU WA DIMONDI LAKINI UBACK WA KUSAGA HAUJAUGUSA KABISA NDIO MAANA NIKAKUKUMBUSHA HILO....HAUJAMTAJA KABISA KUSAGA.
Labda kwenu tuu huko. Huku tabta upo. PolenNaona hii habari nafika home tanesco wamekata umeme sasa sijui kimara tu huku bonyokwa ama DSM yote, ila navizia ukirudi tu Nazama kuwasha TV.