Aya wewe Dinazarde si shabiki wa ndomo wewe? Ndo uje uku dar mwenzio kawaomba mkapokee airport anakuja kesho saa nne usiku, sasa sijui kama mtalipiwa na nauli za kwenda na kurudi au ndo ntolee na kazi mnayo mwaka huu
Cc : zavi, geniveros, Heaven on Earth, lusungo, amu, TATIANA, ROBERT MICHAEL, Matola, matumbo, qn of sheba, princess sayuni, Lady kims, maatope, Mrembo by Nature, Madame B
kwa hiyo wewe umemuona bwana ako domo eeh? Jide wala hujamuona, kweli kazi mnayo nyie ndio wachawi kama sio wanafiki mnajifanya mnasapoti watanzania wenzenu mbona jide hamum support au yule mkenya? Ebu tutoleeni ushabiki mavi wenu apa wachawi wakubwa nyie na una bahat sikuoni , Tindikali ingekuhusu
Nnampongeza kwa kupata tuzo hizo ila hili suala la kumpokea asivimbe kichwaaa na kujiona yeye ndo yeye.
anayoongelea binamu ni hii ya kupokelewa chibu anavyorejea akitoka kwenye hizo tunzo
hiyo ya Canada wala hajaigusia... sa we unasemaje ni mzushi????
Napita apa.nondo za hapa siziwezi
hahaaa ya ngoswe muachie Ngoswe
Honey, leo ni tarehe 29/july, anatakiwa afanye perfomance Canada kuanzia tarehe 2/august.Hapo juu umeonyesha kwamba kesho watu wanatakiwa wampokee airport. Ni uzushi tu hou.
Huku.naona mara baba ubaya mara mama ubaya mara binamu sijui Domo...khhhaaaa sielewi mm baby ake
Huyu jamaa bana kuomba mashaniki wakupokee ni ujinga acha waje wenyewe, mwishowe utuombe tuje kwenye msiba wako siku ukifa ili tu umzidi Kanumba
kwa hiyo wewe umemuona bwana ako domo eeh? Jide wala hujamuona, kweli kazi mnayo nyie ndio wachawi kama sio wanafiki mnajifanya mnasapoti watanzania wenzenu mbona jide hamum support au yule mkenya? Ebu tutoleeni ushabiki mavi wenu apa wachawi wakubwa nyie na una bahat sikuoni , Tindikali ingekuhusu
Nimeshaiona, ma haters tunasubir tu tuone atakavyovunja rekodi ya kupokelewa na watu wengi kuliko hata OBAMA.
wewe! diamond dangote anajua muziki ni pamoja na biashara! anapokuwa kule anatumia chance hiyo kujuana na wasanii wa nje, pia hubadilishana nao mawazo! jide hata tuzo za bongo hadhuriagi! kwa mtazamo finyu jide kafanikiwa kuliko diamond kimuziki lakini kiuhalisia diamond kafunika coz anamda mfupi kwenye gemu!!!! wanamfananisha diamond na mr nice ni mburula!
Habari za uzushi hizi, Warumi anapenda uongo uongo huyu. Diamond anafanya show Canada.
Sasa ndo ujiulze je akija kufikia umri wa jide ki muzk bdo atakua ktk chat aliyonayo?
Kuna watuy wajiombwa mauako na biamond wapi tayari kutoa kabisa tena watabua buklta hata kabla ya neno vua halijaisha,