Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
Last edited by a moderator:
kwa hiyo wewe umemuona bwana ako domo eeh? Jide wala hujamuona, kweli kazi mnayo nyie ndio wachawi kama sio wanafiki mnajifanya mnasapoti watanzania wenzenu mbona jide hamum support au yule mkenya? Ebu tutoleeni ushabiki mavi wenu apa wachawi wakubwa nyie na una bahat sikuoni , Tindikali ingekuhusu

Ha ha ha binamu, makavu live
 
anayoongelea binamu ni hii ya kupokelewa chibu anavyorejea akitoka kwenye hizo tunzo

hiyo ya Canada wala hajaigusia... sa we unasemaje ni mzushi????

Honey, leo ni tarehe 29/july, anatakiwa afanye perfomance Canada kuanzia tarehe 2/august.Hapo juu umeonyesha kwamba kesho watu wanatakiwa wampokee airport. Ni uzushi tu hou.
 
Honey, leo ni tarehe 29/july, anatakiwa afanye perfomance Canada kuanzia tarehe 2/august.Hapo juu umeonyesha kwamba kesho watu wanatakiwa wampokee airport. Ni uzushi tu hou.

nimeanza kukusoma sasa ujue.......
sa Mama ubaya kwanini alituambia hizo habari
 
nimekuwekea picha ya mama ubaya umemuona..... ni hapatoshi posters kila mahali kwa ajili ya mapokezi

Nimeshaiona, ma haters tunasubir tu tuone atakavyovunja rekodi ya kupokelewa na watu wengi kuliko hata OBAMA.
 
kwa hiyo wewe umemuona bwana ako domo eeh? Jide wala hujamuona, kweli kazi mnayo nyie ndio wachawi kama sio wanafiki mnajifanya mnasapoti watanzania wenzenu mbona jide hamum support au yule mkenya? Ebu tutoleeni ushabiki mavi wenu apa wachawi wakubwa nyie na una bahat sikuoni , Tindikali ingekuhusu

Think big
 
Yaan saa 8 usiku khaaa!!!!! Wataenda team Wema
 
wewe! diamond dangote anajua muziki ni pamoja na biashara! anapokuwa kule anatumia chance hiyo kujuana na wasanii wa nje, pia hubadilishana nao mawazo! jide hata tuzo za bongo hadhuriagi! kwa mtazamo finyu jide kafanikiwa kuliko diamond kimuziki lakini kiuhalisia diamond kafunika coz anamda mfupi kwenye gemu!!!! wanamfananisha diamond na mr nice ni mburula!

Sasa ndo ujiulze je akija kufikia umri wa jide ki muzk bdo atakua ktk chat aliyonayo?
 
Habari za uzushi hizi, Warumi anapenda uongo uongo huyu. Diamond anafanya show Canada.

Warumi anapenda uongo uongo huyu, sasa kama unajua napenda uwongo kwa nini uendelee kusoma thread zangu kama sio unafki?

Diamond anakuja kesho saa nne usiku na kawaomba mashabiki wampokee, kama huamini kashike jembe ukalime
 
Kuna watuy wajiombwa mauako na biamond wapi tayari kutoa kabisa tena watabua buklta hata kabla ya neno vua halijaisha,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom