Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
Jaman mwenzenu kawaomba muoneeni huruma ,mkampokee aiport

yani ckuelewi tukikujibu twaenda kumpokea unarusha mkwara wa kumwaga tindikali Mara muoneeni huruma.
Kulikoni vuguvugu au hutaki watu wakustukie kama unahimiza mapokezi ya Almasi Platnumz??????
 
Kuna watuy wajiombwa mauako na biamond wapi tayari kutoa kabisa tena watabua buklta hata kabla ya neno vua halijaisha,
hahahahahaha kwa huu uandishi nitavujika mbavu
 
Tatizo lako hujui kitu halafu unajifanya unajua, huna idea ya safari za ndege kabisa. Sasa niambie, ndege gani inatua Dar-salaam saa 8 usiku.
 
sasa sikawaomba mashabiki wake?!, we kama siyo shabiki wake si utulie, ................

Grand PA
 
Tatizo lako hujui kitu halafu unajifanya unajua, huna idea ya safari za ndege kabisa. Sasa niambie, ndege gani inatua Dar-salaam saa 8 usiku.

Unajibaraguza kitu gani? Si ulisema mimi muongo sasa unajizugisha nini apa? Ayo mambo ya ndege mi yananihusu nini wakat unaona kabisa alichopost ndomo au ndugu yangu una matatizo ya akili wewe? Sasa unabisha nini apa?
 
sasa sikawaomba mashabiki wake?!, we kama siyo shabiki wake si utulie, ................

Grand PA

Ivi unajielewa mkuu? Nilikuwa nakuheshimu kumbe kichwani hamna kitu, sasa kama sio shabiki wake nitulie nini sasa? Ivi unajielewa lakini? Uko sawa wewe? Isije ubongo ukawa umeamia kwenye tundu la haja kubwa halaf sie tunahangaika bure
 
yani ckuelewi tukikujibu twaenda kumpokea unarusha mkwara wa kumwaga tindikali Mara muoneeni huruma.
Kulikoni vuguvugu au hutaki watu wakustukie kama unahimiza mapokezi ya Almasi Platnumz??????

Eeh watu mnajua kukuza mambo, sasa nauli yako mwenyew , ndomo ukamuone wewe tindikali nikumwagie mie? Mmh kweli haya majanga sasa

Ndio nahimiza watu wakampokee diamond airport kwani kuna tatizo?
 
Me hata saa 10 ntaena tena natoka zangu gongolamboto mapema.mdogomdogo mpaka air port nampenda shem darling mie miaka buku
 
Me hata saa 10 ntaena tena natoka zangu gongolamboto mapema.mdogomdogo mpaka air port nampenda shem darling mie miaka buku

kesho saa moja hasubuh ndo anaingia ndo uende kwel sio unapiga kelele za bure humu uonekane shabik kumbe tapel
 
kesho saa moja hasubuh ndo anaingia ndo uende kwel sio unapiga kelele za bure humu uonekane shabik kumbe tapel

Yaan ntaamka asubuh na mapema nshamwachia mtu genge langu kwa ajili ya kumpokea shemeji kipenzi mimi ni shabiki kutoka kwenye damu sio tapeli kama kina fulani humu wanafiki tuu
 
Yaan ntaamka asubuh na mapema nshamwachia mtu genge langu kwa ajili ya kumpokea shemeji kipenzi mimi ni shabiki kutoka kwenye damu sio tapeli kama kina fulani humu wanafiki tuu

Vizur kama ni shabiki wa kweli
 
Mkuu nina matatizo ya kifua nikicheka sana nitashindwa kulala jamani!

Haaha ahaha hata mimi mda mwingine nasomaga ninavyo comment nacheka sana hadi nawaza sijui nilikuwa nafikir nini kuandika vile ahaha ahah
 
Haaha ahaha hata mimi mda mwingine nasomaga ninavyo comment nacheka sana hadi nawaza sijui nilikuwa nafikir nini kuandika vile ahaha ahah

Maana nimecheka mpaka nimejistukia na usiku huu nisije kufikiriwa nawanga bure jf jamani raha sana
 
Maana nimecheka mpaka nimejistukia na usiku huu nisije kufikiriwa nawanga bure jf jamani raha sana

Ahahah wasije kufikir upo kilingeni unafanya mambo, mi ndo om washaniziea kuniona nacheka peke yangu
 
Umeanza vizuri halafu ukaboronga. Anaconda alienda kupokea tuzo mwenyewe wala hakuwakilishwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…