Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
amewapa nauli au wajitegeme? Hashuo asojijua huyo............
 
Hivi hizo tuzo mbona JD naye kachukua jamaa na team zake na team za shankupee wake wanajipigia promo....JD amekaaa kimyaa anaonyesha jinsi gani amekomaaa kimuziki ndio maana anachukulia kawaida hila huyo jamaaa na shankupeee wake wanaona hiyo tuzo wamechukua sayari ya mars.kweli kukosa kujiamini nayo shida
 
mbona mnapenda kumcompare diamond na jide cjui mara kiba kila mtu ana interest zake kama anapenda fans wakampokee airport kuna uajabu gan fans wataenda na ambao c o fans wasiende n lyf goez on..
 
Ahahaj usijali binamu, tunaisubir tu hiyo siku baba ubaya akiwasili tukampokee
Mrs Naseeb(Wema) akiwa maeneo ya airport akihakisha mapokezi ya Shem Darling yanaenda sawa.
 

Attachments

  • 1406643273880.jpg
    1406643273880.jpg
    68.8 KB · Views: 381
Ndege apande nani kumpokea ampokee nani? Mbona wakat anaenda hajatwambia tumsindikize ulaya?

Vp mshashona na sare za vigodor ? Maana patakuwa hapatosh, mama ubaya nae na team yake ya kigodor we mbona mtakesha airport.

nimekuwekea picha ya mama ubaya umemuona..... ni hapatoshi posters kila mahali kwa ajili ya mapokezi
 
Any source,maandishi yanayoonyesha ombi lake kwa mashabiki????
 
Sie tukisema tunaambiwa wachawi wakat wenyew ndo wakuu wa wachawi, mitanzania sijui ikoje yani inataka kila kitu ndomi tu mbona kazi ipo mwaka huu

mi nashangaa sana yani jide hamna mwenye habari nae kabisa
 
Habari za uzushi hizi, Warumi anapenda uongo uongo huyu. Diamond anafanya show Canada.
 
Ningependa kujua ameomba wapi kupokelewa! Any one who knows plz halafu ndo tujue tucomment nini!
 
Ila Jamani Kwani Hakuna Msanii Mwingine Wa Kike Anayefanya Vizuri??Jide Naona Fans Wameanza Kuchokaaa....:
Cuzooo Najua Utanipiga Jiwe...HuuuuHuuuuu
 
Huyu jamaa bana kuomba mashaniki wakupokee ni ujinga acha waje wenyewe, mwishowe utuombe tuje kwenye msiba wako siku ukifa ili tu umzidi Kanumba

Hii mitoto ya madrasa ina akili za hovyo sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom