Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhhh....Umemchana live..
Sijui ingekuaje kama angeshinda BET...
lazima niende kumpokea Shem darlin....
Mrs Naseeb(Wema) akiwa maeneo ya airport akihakisha mapokezi ya Shem Darling yanaenda sawa.Ahahaj usijali binamu, tunaisubir tu hiyo siku baba ubaya akiwasili tukampokee
Ndege apande nani kumpokea ampokee nani? Mbona wakat anaenda hajatwambia tumsindikize ulaya?
Vp mshashona na sare za vigodor ? Maana patakuwa hapatosh, mama ubaya nae na team yake ya kigodor we mbona mtakesha airport.
Sie tukisema tunaambiwa wachawi wakat wenyew ndo wakuu wa wachawi, mitanzania sijui ikoje yani inataka kila kitu ndomi tu mbona kazi ipo mwaka huu
Watakua wamebanwa muda mrefu tuhahaha et kuna mashabik wakimuona wanapata furaha had wanajikojolea
Any source,maandishi yanayoonyesha ombi lake kwa mashabiki????
Huyu jamaa bana kuomba mashaniki wakupokee ni ujinga acha waje wenyewe, mwishowe utuombe tuje kwenye msiba wako siku ukifa ili tu umzidi Kanumba