Diamond awatukana vijana wa Tanzania; 'wana njaa'!

Kweli njaa inakutesa mpaka unaona kama unatukanwa.
Unakoelekea wewe hata ukiona mende wawili wamesimama utahisi wanakusema.
Wewe unaona sawa tu kutukanwa matusi ya rejareja kisa njaa? Njaa kali imekufanya ushindwe kugundua matusi unayotukanwa na watu qenye pesa. Unakuwa kama chawa kwa kuwa chawa hata atukanajwe yeye haoni soni wala soo.
 
You only see what your eyes want to see
 
Wewe unaona sawa tu kutukanwa matusi ya rejareja kisa njaa? Njaa kali imekufanya ushindwe kugundua matusi unayotukanwa na watu qenye pesa. Unakuwa kama chawa kwa kuwa chawa hata atukanajwe yeye haoni soni wala soo.
sijaona neno kwamba vijana wa kitanzania mna njaa sana ila nimeona neno njaanuary neno ambalo hutumika kila siku kuonesha ugumu wa january. Hapo matusi yanatoka wapi.
 
sijaona neno kwamba vijana wa kitanzania mna njaa sana ila nimeona neno njaanuary neno ambalo hutumika kila siku kuonesha ugumu wa january. Hapo matusi yanatoka wapi.
Kwa kuwa una njaa hayo matusi huwezi kuyaona. Subiri ushibe kwanza mkuu.
 
Ni either tafuta ajira au tafuta hela kaka
 
sawa mkuundugu yangu ila jitahidi sana uwe unahuzuria hospital maana unakoelekea sio
Kwa haya maandishi, tayari nimegundua nabishana na mtu anayeongeleshwa. Natwanga maji kwenye kinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…