Domo perfume ingeuzika sanaaaaaaaaaBora angeiita domo perfume, chibu ndio nini
Kwanza amesha jiharibia soko, nani akubali kujipulizia ushuzi Wa kibongo muvi huo awe sawa na kina bashite na le makaptula
Size yako itapatikana kweli?nasubiria alete chupi za kike nivae
Namshauri Bashite azifungie perfume za nje ya nchi ili hii ya Chibu ipate soko.
kwa hyo anatafuta mbuzi wa kafaraFree mason hiyo
Pulizia utolewe khafara [emoji23]
We unajua nini wewe empty head tambara la bashite
nataman ningekua chupi univaenasubiria alete chupi za kike nivae
Mkuu vipi? Anything personal? Mbona umekomalia hivi bidhaa ya jamaa? Muache ajaribu wewe usinunue nunua zile zenye majina makubwa.Namshauri Bashite azifungie perfume za nje ya nchi ili hii ya Chibu ipate soko.
Mkuu vipi? Anything personal? Mbona umekomalia hivi bidhaa ya jamaa? Muache ajaribu wewe usinunue nunua zile zenye majina makubwa.
Hamna povu. Nataka tu kujua nini kinakukera kijana kuuza manukato yake? Kama hayafikii viwango vyako si unapotezea tu...vipi tena mbona mapovu??
Hamna povu. Nataka tu kujua nini kinakukera kijana kuuza manukato yake? Kama hayafikii viwango vyako si unapotezea tu...