Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Bora angeiita domo perfume, chibu ndio nini

Kwanza amesha jiharibia soko, nani akubali kujipulizia ushuzi Wa kibongo muvi huo awe sawa na kina bashite na le makaptula
Domo perfume ingeuzika sanaaaaaaaaa
 
Kwa hakika chibu (nachibu) atakuwa ameusoma upepo kupitia uzi huu.
BASHITE amemuharibia saaana!!!!
 
haha eti Bashite ndiyo katokea kwenye tangazo la hii perfume.

very local na ametia najisi hii bidhaa.
 
Kuna vitu vya kufagilia si ujinga kamaa huu. Pua zetu zimezoea vitu vya uhakika si hivi vya kuigiza na kuumiza watu pua/sinus kwa kujitakia. Mwambie akawagawie nduguze Tandale na Kigoma.
 
Namshauri Bashite azifungie perfume za nje ya nchi ili hii ya Chibu ipate soko.
Mkuu vipi? Anything personal? Mbona umekomalia hivi bidhaa ya jamaa? Muache ajaribu wewe usinunue nunua zile zenye majina makubwa.
 
mleta mada umetumwa kuitangaza pamfunyuku tumekujua atununui eti laki na hamsa bola ninunue kiloba cha unga mtu uyo uyo katutukana atufanyi kaz kisa umbea wa vyeti
 
Back
Top Bottom