Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

ulichokoment utoto ni wewe maana hujui chadema wameegemea mlengo gan haya tueleze huyo domo mkwepa kodi anamalengo yapi kuhusu katiba mpya ili kuleta justice and tranquility nchini maana umetolea mfano wa mainstream parties za uingereza visa viz other political or associations ambao kwa pamoja walitaka brexit ila katika modalities tofauti na kwamba labour,conservatives hawakutaka waungane nao swali ni Je huyo mkwepa kodi amewahi kupigania agenda ya katiba mpya ambayo kimsingi ndio itaondoa ujinga wote unaofanywa na mamlaka za serikali eg latra,police,tmda,tcra,nec,TRA na taasisi zingine zenye kufanya ujinga.
Leo hii huyo mkwepa kodi analalamika kufungiwa account zake na TRA huku akijua TRA wamefanya hivyo kwa mujibu wa sheria ambazo ni za hovyo au mbovu pamoja na katiba ya hovyo, unafikir kama kungewa na katiba bora huo ujinga wa TRA wa kufunga account za watu bila wao kujua ungefanyika? Maana angeweza kuwashtaki mahakaman na angewashinda lakin leo ajaribu kama atafanikiws huko mahakaman hii yote ni kwasababu ya katiba ya hovyo so chadema hawapiganii maslahi binafs bali maslahi ya kila mtanzania, huyo mkwepa kodi wamemtekenya kidogo tu ameanza kujambajamba angepigwa risasi hata moja je si angekufa kabisa.
Haya amefungiwa account zake na TRA kwa akili zake za kijinga anaandika kuwa ANAFANYIWA HIVYO KAMA PALE TRA KUNAWAPINZANI hizo ni akili au matope anafikir kuwepo kwake ccm anaimmunity au privilege kwenye kulipa kodi.
Na wewe kwa ujinga wako unafikir huyo mkwepa kodi anaprivilege ya kutokulipa kodi, nasema hivi TRA wahakikishe analipa kodi na waendelee kufunga viaccount vyake uchwara mpaka ajue kuwa KATIBA MPYA NI SASA NA YEYOTE ATAKAE PINGA NI BORA EITHER ATOWEKE AMA AUNGANE maana asipofanya hivyo lolote litakalomkuta kutokana na katiba mbovu asilalamikie mitandaoni ili kutafta huruma bali apambane mwenyewe.
 

Hii kukuelewa ni kwa waliosoma Cuba tu mkuu:

CHADEMA na viongozi wake lazima waelewe ni utoto kulazimisha watu wasio wanasiasa ku support movement zao hadharani. Jukumu lao ni kushawishi wachague wanachopigania wakipata nafasi ya kuwapigia kura, lakini uwezi kulaumu raia wakipata shida mbona ukuunga mkono jitihada za chama kwenye agenda husika acha yakukute huo ni utoto

NInakazia:

Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?
 
Lipa kodi stahiki hakuna atakusumbua....acha kulia uongo na utoto
 
Tutamtia adabu huyu punguani mpaka matobo yote yakiwemo ya puani yazibike!

Mpumbavu sana, anakwepa kodi anadhani sisi tuna masihara naye? Na namuonya hiyo mbinu yake ya juzi Kutaka kutoa rushwa kuwahonga wale jamaa wawili pale hotel ya.... Tushazijua, na yule Dada aliyeenda naye Kuleta ushawishi tushazaa naye tayari kikiwemo hicho kibinti chake anatamba nacho mitandaoni nacho kwisha habari yake kilidhani tuna mchezo....

Sasa ngoja aone kitakachomtokea! Lasima alipe atake asitake!
 
Ndugu kwanza TRA sio kitengo cha CCM ndio maana kwenye kudai kodi akijali mwenye biashara yupo chama gani. Kwa ivyo mfanyabiashara yoyete anapokutana na kadhia akazungumza ni kwa maslahi yake.

Pili lengo kubwa la taasisi ya chama cha siasa kukusanya mawazo ya jamii yake na kutengeneza opinion, so kama wanaona TRA inafanya kazi ovyo au kuna sheria inawapa watu nguvu wao wataelezea mapungufu yake na kutaka mabadiliko.

Opinion ya chama lengo ni kushawishi wananchi wa support kupitia sanduku la kura kwa utashi wao, lakini uwezi laumu raia au wafanyabiashara regardless ya support ya vyama vyao kwa kuto support ideas za chama fulani hadharani because of their influence kwenye jamii kwa sababu zingine.

Huo ni utoto, pambana vita yako usilazimishe watu waunge mkono movement zako kwa njia ambazo awazani ni sahihi kwao.
 
Ficha upumbavu wako Kodi italipwa hata na masai
 
Lipa kodi stahiki hakuna atakusumbua....acha kulia uongo na utoto

Labda kama wewe ni TRA mwenzao au huna uzoefu na biashara yoyote. Fungua biashara yoyote halali kisha utuletee mrejesho hapa.
 
Sasa anapolaum wapinzani huko TRA anataka wamsaidie nini? Apambane kivyake asitake huruma ya wapinzani.
 
Huyu anajiona kama nchi hii ni mtu special sanaaa
Yaani mtu ambaye hatakiwi kuguswa
Huyu mkata mauno na wahamasisha
Ushg kz kwerkwer

Ova
 
Ngada + wadudu + TRA + kauli za kuweweseka....... Domo anapotea soon 😅😅😅
 
Dah

Hivi wapi nimesema Diamond asilipe kodi au hoja yangu ilikuwa TRA iheshimu taratibu za sheria kwenye kufanya kazi yao.

Pili unaongelea hadithi za misimamo ya CDM if the intention ni kunielimisha thanks.

But then aina maana mimi au anyone else ambao we are not subscribed kufanya siasa za ushawishi publicly tuna ulazima wa ku support hayo mambo hadharani na tusipofanya ivyo yakitukuta yale mnayo simamia mtu zodoe; huo ndio utoto.

Learn to separate maisha ya mwanasiasa na mwanachama wa chama cha siasa. Umeshawahi kuona msanii yeyote baada ya kampeni akipiga foleni kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi (tells you they don’t care who wins the election deep down).
 
Nafikili ilikuwa ni kauri ya kujikosha kwa mwenyekiti kwamba yeye ni ccm Kwanini mwenyekiti anaruhusu serikali ya ccm kumnyanyasa ccm mwenzao

Kwa maoni yake anamaanisha kwamba ingerikuwa vema kumtendea hivyo mpinzani lakini sio ccm Kama diamond

Maoni yangu nikwamba kosa la diamond nikuamini kwamba wapinzani pekee ndiyo wanao stahili kutendewa aliyo tendewa yeye na hili Jambo so sahihi
Kwani
Ccm na chadema wote niwa Tanzania
Yanga na Simba wote niwa Tanzania

Lakini naona lengo kubwa Lili kuwa ni kujitambulisha kwamba haya yeye ni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…