Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

TRA wakusanye KODI Kwa AKILI.

Diamond ameitabiria CDM mema na MAZURI kuwa one day itakusanya Kodi kwa Kila mtanzania.
 
Amekosa la kunena, hivi hana accountant wake wa kujitetea ulipaji huu
Yeye aimbe tu, mambo ya kodi wapo anaowalipa walizungumzie yeye atabwabwaja tu na kutafuta sympathy [emoji28] ambapo pia kaikosa kwa kuingiza siasa
Mpm#mbv sanaaa huyu ndomana hawa sijawahi kuwakubali
Kwanza wana hamasisha ushg na mamizik yaoo

Ova
 
Mijitu mieusi ni shida kila mahali
 
Ni mpumbavu sana huyo ,anamaanisha wapinzani ndio waliomfanyia hivyo? anashindwa kusimamia ukweli anaanza kupakazia wapinzani
 
Mkurugenzi wa WASAFI mh Nassib Abdul aka Diamond Platnumz amewataka TRA kutenda Haki kwani Yeye hajawahi kukwepa kodi ila mara nyingi amewaonyesha TRA vyanzo vya Mapato ya Kazi za Sanaa ambavyo hawakuvijua awali.

Diamond amesema Yeye ni mtu wa " Misifa na Maujiko" hivyo hawezi kukwepa kodi kwa sababu atashindwa kupost Utajiri wake mitandao.

Diamond Platnumz amesema hakukuwa na ulazima wowote Staff wa TRA kuvamia ofisini kwake kwani mara zote wanapomuhitaji amekuwa akienda ofisini kwao bila kukosa

Diamond amesema Watu wanaweza kuhisi TRA inatumiwa na Wapinzani
 
Kweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!! 🤔
kwanza huyo mpumbavu ahujumiwe na wapinzan kwa lipi mpuuzi mmoja tu, kipindi cha uchaguzi si ndio huyuhuyu alikua anazunguka na lile joka lila watu kuhadaa wajinga wajinga mwisho wa siku likaandaa kura zake fake baada ya kipigo kikali cha TUNDU LISSU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…