xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,289
Mimi nafikiri mswahili wa kwanza ni Dimond. Mwanzo Nilikuwa namuona kijana ana busara lkn nimegundua kuwa busara inaweza kiwa corrupted na ulevi wa misifa ya kijinga.
The moment alipo tamka utumbo Kuwa atamsaidia Ali kiba na kuwa Mbeya hakuna hoteli ya hadhi Yake hapo ndipo nilipo jilaumu kwa kumuona dimond mwenye busara hapo awali
Unacho shindwa kuelewa ni kwamba watanzania pamoja na uswahili wao na umasikini wao lakin wanaamini kwenye kuheshimiana,hasa kwenye swala la mwenye nacho kumuheshimu na kutambua uwepo na umuhimu wa asiye nacho
Kitendo cha watanzania kumzomea Dimond kina onyesha dhahiri kuwa wao si waswahili(kulingana na definition yako ya uswahili),hawaja pendezwa na utoto na ufinyu wa fikira wa Dimond Kwa kumdharau Ali kiba
Pia kwa nyiongeza Naomba nikukumbushe kuwa Dimond bila Ali kiba asinge fanikiwa,Kiba ndiye aliye ruhusu Dimond arekodi nyimbo yake ya kwanza iliyo mtoa pale Sharobaro records.Dimond alipaswa kumuheshimu Ali kiba,kwanza alitakiwa awe ameomba msamaha kwa Ali kiba siku nyingi baada ya kuwa anaanzisha bifu za kitoto
Mwisho naomba nikutume Mwambie Dimond akasome historia ya Mr. Nice maana naona ndio anafuata nyayo zake sasa.Naye Alikuwa na dharau hizihizi kama za domo