Diamond, hivi kweli limelipuka?

Diamond, hivi kweli limelipuka?

Wissman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
1,012
Reaction score
1,284
Nimeshangaa kwenye moja ya news inayotembea hivi hii ipo vip au ndio limelipukaa?
 

Attachments

  • 1432825802445.jpg
    1432825802445.jpg
    22 KB · Views: 4,221
Watu wanachokonoaaa si unajua kama kote wameshindwa hata kwa hili watamwangusha na kumpaka matope.
 
Aione chige hiyooo
Sweetheart, huyu Madam Wema atakutia uchizi bure.. mimba iwe ya mpendwa wako Chibu, Ivan, Katunzi, au hata kama iwe mpwa warumi nae alichovya kwa Zari na kumtia kile kitumbo, bado uhalisia utabaki pale pale kwamba Madam Wema Issack Sepetu ameshaachika!!! Avute tu pumzi labda atarejewa lakini kwa sasa.... aaaaaargh!
 
Last edited by a moderator:
chige akija humu patakuwa hapatoshi, uzuri wa jamaa mnapeana makavu ila hana ugomvi na mtu binafsi
Mpwa bhana, mchana nilikuuliza huu ulimbukeni ulianza lini; hukunipa jibu! Swali langu lingine, hivi huu ushamba mpwa wangu umeanza lini manake wajanja wote wanafahamu kwamba pale Instagram, mtu unaweza ku-post chochote!! Hata wewe unaweza ku-post kwamba Jide sio mgumba na ulishawahi kumtandika mimba lakini akaitoa!!!Yaani hadi unampa matumaini my sweetheart angu Heaven on Earth!! Hivi hapo cha ajabu kwangu nini wakati hata wewe unaweza kuandika kilichoandikwa tena na zaidi ya hapo kisha uka-post instagram!!! Mwandishi mwenyewe, muke ya muganda... yule yule ambae alipewa dongo moja tu kwamba ni housegirl akaanza matusi siku mzima!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom